Amkeni, amkeni wamekuja tena. INFINIX HOT 10T. Imekuwa launched

screen mbovu tu, 720p na hamna gorrila glass protection
Mbona hawana usb type c mwaka wa 2021
Soc ni wastani sana
ROM mbona wanatumia technology iliyopitwa ya eMMC 5.1, sasa tuko UFS
Ikiwa watafuta simu katika budget hii, tafuta redmi 9T, redmi note 9 au uongeze hela upate redmi note 10
 
Ukishaona mtu anasifia kitu au biashara halafu anakuambia uende inbox badala ya kuweka mambo hadharani ni wa kuogopa sana.
 
screen mbovu tu, 720p na hamna gorrila glass protection
Mbona hawana usb type c mwaka wa 2021
Soc ni wastani sana
ROM mbona wanatumia technology iliyopitwa ya eMMC 5.1, sasa tuko UFS
Ikiwa watafuta simu katika budget hii, tafuta redmi 9T, redmi note 9 au uongeze hela upate redmi note 10
kipaumbele cha kwanza cha hawa wanazi wa wereva ni simu kukaa na charge siku mbili.

wanapenda kuzima data na kupunguza mwanga hao.
 
Kila mtu anaponunua simu kuna kitu analenga. So wapo sawa kama wap wanataka charge ya muda mrefu. Mwingine anataka camera nzuri, mwingine anataka music mkubwa, mwingine anataka screen nzuri. So vipaumbele haviwezi fanana hata siku moja.
 
Uko sawa mkuu. Hata brand; wengine wananunua brand kubwa kwa show off tu wakati wengine wanalenga specifications nzuri at affordable price.
 
hatulazimishani,tunaelekezana.

kwamba ziko simu unaweza pata ulivyotaja 80% kwa ubora robo.
nyingine ukapata ulivyotaja kwa 50% kwa ubora nusu.hapa wanatua akina xiaomi nk.
nyingine utapata 30% kwa ubora kamili,ndio akina tecno wa kukaa na chaji wiki.
 
Kuna jamaa yangu ananishawishi namu ninunue anadai zinakaa sana na charge na best Camera.

48 mega pixers
4GB Ram
Memory 64 GB
Battery yake 5000 Mah

Bei tsh 380,000 wadau wa simu tushauriane. Mimi nimekuwa nikitumia sana Huawei na Samsung. But jamaa kwa kigezo cha Battery kukaa nadhani kuna neno hapo.
Now nina infinix note 7 sioni walipopishana na huyo hot10T
 
Uko sawa mkuu. Hata brand; wengine wananunua brand kubwa kwa show off tu wakati wengine wanalenga specifications nzuri at affordable price.
Kwa mtu mwelewa ananunua kitu kulingana na MAHITAJI YAKE. wapo watu wana uwezo wa kununua Iphone hawanunui sababu mahitaji yao hayawi favored na iphone. Ndo maana mimi sioni shida mtu akitumia tecno sababu ndo kaipenda na mwingine akitumia iphone sababu ndo kaipenda. Ni mahitaji tu. Mwingine simu kwake ni kupiga,kupokea na sms. Hana jingine. Haoni haja ya kuwa na simu yenye mbwembwe nyingi.
 
wacha story mingi bana,ukiona una uhitaji wa smartphone halafu mawazo yakakupeleka kwenye tecno au infinix ni uchumi ndio umesababisha.

halafu ni mambo ya kawaida kununua kitu cha chini sababu za kiuchumi,sioni sababu ya kutolea maamuzi,huipendi tecno ni maisha tu.
 
Kwa mtu mwelewa ananunua kitu kulingana na MAHITAJI YAKE. wapo watu wana uwezo wa kununua Iphone hawanunui sababu mahitaji yao hayawi favored na iphone. Ndo maana mimi sioni shida mtu akitumia tecno sababu ndo kaipenda na mwingine akitumia iphone sababu ndo kaipenda. Ni mahitaji tu. Mwingine simu kwake ni kupiga,kupokea na sms. Hana jingine. Haoni haja ya kuwa na simu yenye mbwembwe nyingi.
Hakika, uko sahihi!!!
 
wacha story mingi bana,ukiona una uhitaji wa smartphone halafu mawazo yakakupeleka kwenye tecno au infinix ni uchumi ndio umesababisha.

jalafu ni mambo ya kawaida kununua kitu cha chini sababu za kiuchumi,sioni sababu ya kutolea maamuzi,huipendi tecno ni maisha tu.
Ni mtazamo wako tu. Si kila anayenunua cha bei nafuu amelazimishwa na uchumi maana si kila cha bei kubwa kina mvuto kwa kila mtu. Wengi tunavutiwa na specifications za simu, si brand wala majina makubwa!
 
ukinambia si kila mwenye simu ya bei ana hela,ngakuelewa lakini si kinyume chake.

uchumi,uchumi,uchumi baba.
hakuna asiyependa kizuri tuna mambo mengi na hela haitoshi.
 
Tuheshimu vionjo vya watu, si kulazimisha kila mtu awe na vionjo sawa na sisi! Mfano mimi, sina mzuka kabis na Samsung pamoja na jina lake kubwa. Nimenunua infinix ya laki 5 wakati hela hiyo ingeweza kabisa kununua Samsung "nzuri" tu. Unalisemeaje na hilo?
 
Tuheshimu vionjo vya watu, si kulazimisha kila mtu awe na vionjo sawa na sisi! Mfano mimi, sina mzuka kabis na Samsung pamoja na jina lake kubwa. Nimenunua infinix ya laki 5 wakati hela hiyo ingeweza kabisa kununua Samsung nzuri tu. Unalisemeaje na hilo?
tunafanya kuelimishana tu.

kwa laki tano hiyo ungetaka samsung yenye sifa kama za infinix yako ungetakiwa utoe laki 9 au milioni.zipo simu nzuri sana unaweza kuidharau samsung kwa bei ila sio kwa infinix au tecno bro.
kuna xiami,oppo,vivo nk.
 
wacha story mingi bana,ukiona una uhitaji wa smartphone halafu mawazo yakakupeleka kwenye tecno au infinix ni uchumi ndio umesababisha.

jalafu ni mambo ya kawaida kununua kitu cha chini sababu za kiuchumi,sioni sababu ya kutolea maamuzi,huipendi tecno ni maisha tu.
Pole sana. Ukiwa maskini unaamini vitu ndo vinakupa thaman. Nimeanza kutumia simu ukiwa mdogo au hujazaliwa. Simu yangu ya kwanza ilikuwa Samsung. Toka miaka hiyo nmetumia Nokia,Samsung,Blackberry,Alcatel,Sony Ercsson, Huawei ndo simu pekee ya kichina nliyowahi tumia. Right now natumia Samsung. Mkurugenzi kazini kwangu anapokea salary ya tsh Mil 23 kwa mwezi. Anatumia tecno anaendesha Range Rover na Mercedes Benz. Zake na anaendeshwa kwenye V8 na BMW za Kampuni. Anatumia tecno mimi natumia Samsung naendesha gari za Mjapan. Ni mawazo ya kimaskini tu yanatufanya tuamini katika vitu flani. Yeye CEO simu kwake si kipaumbele.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom