Amkeni, amkeni wamekuja tena. INFINIX HOT 10T. Imekuwa launched

Mtu kakupa usichana wake unampa infinix?

Tecno S1 huijui

Daaaaah wajumbe kweli sio watu wazuri aisee, umenifanya niingie google nitazame specs aisee, kwanza bei 60+ halafu internal 4GB, Ram 512, screen 4" sio vizuri kumlipa hiyo simu kwa alichoamua kukitoa kwangu mkuu, mtoto wa watu alikuwa analia uso mzima umejaa machozi mashine ilivyokuwa inazama mkuu.

Acha tu nimpe japo android 10 apunguze machungu angalau, yuko chuo 1st year hiko ki-tecno hakimfai kiongozi wangu.
 
Hahahaha bro kama kweli una nia hiyo sasa usimpe Infinix mtafutie hata Oppo A12.

Anakua wa tofauti huko chuo
 
Inaendaje hiyo kibongo bongo mkuu...?
Nafikiri hii Infinix unayotaka kununua ina gharama kuzidi Oppo. Ni chini ya 350K.

Ila iko poa in terms of uniqueness, camera, privacy, speed, storage n.k.

Kama unaweza ingia Kupatana isearch
 
Nafikiri hii Infinix unayotaka kununua ina gharama kuzidi Oppo. Ni chini ya 350K.

Ila iko poa in terms of uniqueness, camera, privacy, speed, storage n.k.

Kama unaweza ingia Kupatana isearch

Ahsante sana kwa ushirikiano wako katika kuwajali hawa viumbe kiongozi, nimeona itamfaa Ram 3 GB not bad for her...!
 
Ahsante sana kwa ushirikiano wako katika kuwajali hawa viumbe kiongozi, nimeona itamfaa Ram 3 GB not bad for her...!
Yaani kama ametumia hizi tecno au Infinix ukimpa hiyo atafeel tofauti ya quality fasta mno.
 
Nimemunua hii simu, infinix hot 10 play kwa 350K. Nimeipenda sana charge inatunza sana. Ina 6,000 mAh. Vigezo vyangu vya simu huwa ni ukubwa wa screen, speed ya ufanyaji kazi na kutunza moto. Ninakaa hadi siku 4 bila kucharge.
Screenshot_20210515-221632.jpg
 
Kuna jamaa yangu ananishawishi namu ninunue anadai zinakaa sana na charge na best Camera.

48 mega pixers
4GB Ram
Memory 64 GB
Battery yake 5000 Mah

Bei tsh 380,000 wadau wa simu tushauriane. Mimi nimekuwa nikitumia sana Huawei na Samsung. But jamaa kwa kigezo cha Battery kukaa nadhani kuna neno hapo.
inafanana kdg za Camon 17 pro
 
Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom