Amini usiamini, Tanzania hadi sasa ina flyover mbili (2) tu zinazofanya kazi rasmi

Eti ucheke mleta mada akili huna

Kwa kodi zipo unazolipa hadi kuwa na Flyover kibao

Nyie Chadema hsta makao.makuu yenu ya chumba kimoja tu kisicho hata na choo wala umeme hamjajenga mnapanga

Kuongelea Flyover sio saizi yenu
Unakaa kijumba cha kupanga hata chumba cha kwako kimoja huna halafu unakomaa Flyover zinazomilikiwa na Serikali wakati wewe hata chumba kimoja ulichojenga kama makao makuu ya Chadema huna

Mama Samia kuanzia leo usikubali kukosolewa na Chadema ni kundi la wajinga fulani
 
Tumshukuru sana mzalendo magufuli aliip a mbania Tanzania yetu.Naamini angekuwepo nchi ingetapakaa flyover kila mahali.Maana toka atutoke hakuna flyover mpya iliyobuniwa na awamu hii mpya zaidi tu ya alizoziacha ambazo zingine zinamaliziwa kwa sasa japo za sasa zimechakachuliwa.Yaani hazina mvuto na ubora.
Ubungo yanavutia yale madaraja mawili?! Nani aliichakachua project ya kwanza iliyo takiwa ijengwe?
Tuwe na kumbukumbu basi,mama kakuta W.I.P. kwenye hayo madaraja mengine, amechakachuaje ramani hadi hayavutii tena?
 
Tuache laumu, Fly overs kwa miaka 20 zitaendelea kuwepo Dsm maana ndio mji wa kibiashara, Dodoma pamoja na serikali kuhamia bado mji haupanuki
 
Maana kwanza nicheke, hivi hii nchi tunaambiwaga ina watu milion 60 ni kweli au ni nadharia? Yaani flyover 1 kwa watu milioni 30?! Hivi hii inaingia akilini kweli?

Hebu tusubiri Sensa tuone, hadi majibu ya Sensa yatoke ndio ndio nitaamini
Mbali nahilo mkuu dar haikutakiwa kuwa pale ilipo Sasa tangu tumepata Uhuru
 
Fly over inanisaidia nini mimi niliopo huku morogoro?

Hata hapo dar fly over haijasaidia kitu


Kujenga atajenga tu fly over bibi tozo
 
Maana kwanza nicheke, hivi hii nchi tunaambiwaga ina watu milion 60 ni kweli au ni nadharia? Yaani flyover 1 kwa watu milioni 30?! Hivi hii inaingia akilini kweli?

Hebu tusubiri Sensa tuone, hadi majibu ya Sensa yatoke ndio ndio nitaamini
Hadi kila kijiji kipate flyover nini
 
Huyu mama anataka kufurahisha watu, sio kuleta maendeleo.

Maendeleo hayawezi kuja kwa kuchekeana chekeana. Wazungu hawakufika hapo kwa kuchekeana, wamwpigana vita nyingi sana kuwekana sawa.

Sisi Tanzania tunataka kuchekeana, mara mama asamehe wasiolipa kodi, sasa unasamehe watu wasilipe kodi wewe nchi utaiendeshaje, kwa kukopa na kuomba misaada?

Hakuna maendeleo yamewahi kuletwa hapa Duniani kwa misaada na mikopo. Hakuna.

Hii nchi tuna bahati mbaya sana.
Mwacheni mama...yaani mara hii mmeshasahau?
1)Vyuma kukaza
2)Uhuru wa vyama pinzani
3)Uhuru wa habari
4)Marufuku ya Kusafiri
5)Kupanda madaraja kazini
6)hakuna seminar elekezi,warsha nk
7)Hakuna Bunge live
8)Wasiojulikana

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom