Wana Jamii Forums labda nianze na usemi wa kizungu.
Behind every success there is a woman, and behind every failure there is a woman.Ni kwamba ukitaka kufanikiwa katika jambo lolote mtumie mwanamke, pia wapinzani wako wakimtumia mwanamke katika jambo lolote la kukuangusha lazima utaanguka.
Kwa kifupi kwangu usemi huu umetimia. Wewe ambaye labda bado unaona nyota nyota. Ndio maana nasema amini usiamini mwanamke ni muhimu,hutaki.