ikiwa hivi mkuu ingependeza zaidi samahani kwa editing.
Behind every strong success there is a bright woman, and behind every failure there is a kilaza woman.
ukitaka kufanikiwa jambo lolote mtumie mwanamke mwenye akili, ukitaka kufeli jambo lolote mtumie mwanamke kilaza lazima utaanguka tuuu. phuuuuuuuuuh
Ndugu yangu nakubaliana na wewe kwa strong woman, ila kilaza woman sikubaliani nawe, kwani kilaza woman, kama yupo huwezi fanya naye mpango wowote, kwahi hiyo hatakuwa athari kwako. Ila ufahamu mwanamke awe kilaza kiasi gani atakulelea watoto TAIFA LA KESHO. Chezee wanawake uone. Wanaume ndo basi, tuna sehemu yetu lakini...
WanaJF labda nianze na usemi wa kizungu: Behind every success there is a woman, and behind every failure there is a woman.
Ni kwamba ukitaka kufanikiwa katika jambo lolote mtumie mwanamke, pia wapinzani wako wakimtumia mwanamke katika jambo lolote la kukuangusha lazima utaanguka.
Kwa kifupi kwangu usemi huu umetimia. Wewe ambaye labda bado unaona nyota nyota: ndo maana nasema amini usiamini mwanamke ni muhimu. Hutaki???