Mara yako yaHabari wana jf....
Napenda kuwajuza kuwa kuwepo kwa mtu huyu ndani ya cdm ni hatari sana hata akifukuzwa leo cdm wamechelewa sana.
Marando alikuwa mshauri mkuu ikulu enzi za Mwl. Nyerere na anazijua siri kubwa za ukomboz kusini mwa Africa.
Wengi mkitizama umri wake mnaweza kuuliza au kupinga hoja yangu lakn mm nafahamu kinachoendelea...
Mabere ki umri ni mkubwa sana kuliko mdhanivo.
Nasema huyu ndo mbaya wa cdm...
Nawasilisha.
If you dont know english, write in swahili.To simple to be believed!
Yule ni shushushu au huna uwezo wa kupambanua mambohujaonyesha kuwa anaiuaje, inabaki kuwa ni uzushi tu ambao mods bado hawajauona