GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,212
Jinsia AMBAYO INA AKILI au IQ Kubwa Ni Ya KIKE ( Mwanamke ) Isipokuwa Tu Ni MABWEGE Na Ya KIUME ( Mwanaume ) Ni WAJANJA Lakini Wana ULOFA.
Karibuni TULIJADILI.
- UBWEGE Wa Wanawake Unatokana Na Kwamba Huwa Anajua Kabisa Kuwa ANADANGANYWA Wakati ANATONGOZWA Na Mwanaume Lakini ANAKUBALI Kiurahisi Sana Na Hadi Kuliwa URODA.
- ULOFA Wa Wanaume Unatokana Na Kwamba Anajua Kabisa Kuwa ANATAFUTA PESA KWA SHIDA Na TAABU ZOTE Lakini Anakuja KUZITOA Kwa Mwanamke ( KUHONGA ) Kirahisi / Kiulaini Sana.
Karibuni TULIJADILI.