Hahahahaaa kweli we ndo umechemsha. Hivi ushawahi kuona mwanaume yeyote hata anamvizia Amyner ? Waulize walaku AsprinBishangaplatozoomKaizer uone watakuambiaje. Mi ndo b52 nachukua sichukuliwi hata siku moja, Amyner matawi yake we huwezi, komaa na akina Arabela , CatherineYummy na wengineo
Mie mbona nipo shem langu. Kama ni kwa ajili ya sweetlady niagize tu, kama ni issue nyingine muambie yeye ndo aniagize. Unajua inabidi tusiwe karibu sana shem, shetani atatupiga mwereka