Leo darasa kali sana, nimefarijika kweli kweli..Asante kwa hizo alama nitajifunza na kuapply kwenye mipango yangu ya kumteka huyo kaka..
Nikuulize kitu? wewe binti akiwambia anakupenda live unachukuliaje? kuwa muwazi usijali hutanikwaza..nataka mtazamo tu kama Fidel na St. RR..ha ha
Nisipofanikiwa nitaficha wapi sura yangu?
Very humbling experience ukizingatia jinsi nitavyotamkiwa.
Kutamkiwa 'Mbu nakupenda!' na kutamkiwa '' ♪ mbu, ...nakupenda!... ♪' ni vitu viwili tofauti.
Kawaida yangu (jinsi nilivyo,) it takes time to sink in...
Na kawaida ya ku digest haya mambo kidogo kidogo ('hoping!' not to be misintepreted labda sijali hisia 'zako')
...Never ever take it personally, ni bora akwambiaye ukweli ukajua it's a rejection kuliko yule atayekukubalia kwa uwongo na akupe ridhisho la muda. Hapa inabidi uwe spiritual stable,
talking about---Your Destiny---!
Kama mimi, inategemea ni yule ninayemfikiria au la. Maana mtu hula chakula inayofurahisha moyo wake ati. Mara nyingi huwa inakuwa yule unayempenda sana hakuoni au yuko busy sehemu ambayo wala hapendwi hata kidogo.Leo darasa kali sana, nimefarijika kweli kweli..Asante kwa hizo alama nitajifunza na kuapply kwenye mipango yangu ya kumteka huyo kaka..
Nisipofanikiwa nitaficha wapi sura yangu?
Nikuulize kitu? wewe binti akiwambia anakupenda live unachukuliaje? kuwa muwazi usijali hutanikwaza..nataka mtazamo tu kama Fidel na St. RR..ha ha
MMH! am impressed, kumbe inategemeana na flow ya body language pia kutamkiwa eeh..
kwanini inatake time ku-sink in??? inakuwa hujamfeel binti au uko na wako mwingine?
Ndiyo mana kuna mdau alimention wanaume mna slow response hivyo nimekusoma unavyopenda mambo pole pole..not misinterpreted at all usijali..
hiyo ya pili hapo, kwavile ni issue ambayo ni unpredictable inabidi nijiandae kwa lolote lile either kuvunjika moyo au kufurahia kuwa nae kama atafeel the same..natamani tu anianze, ila hii si itanifanya niwehuke!!!..
Sincerely, I'm so confused..
manenio ya adhahabu hayanakushauri usimwambie!
kama anakuhitaji atakwambia sbb lazima tu kuna vidalili umemuonesha!
kumuanza mwanaume ni big no nooo hamna cha zama za uwazi wala cha nini nioneni mshamba tu lkn huo ni mtazamo wangu!
wengine hata kama alikua anapanga jinsi ya kukuanza ukimtongoza tu unamkata stimu zote.
anyway Belinda huu ni ushauri tu wewe ndio utakayeamua upi wa kufuata na upi wa kupotezea ila nakutakia kila la kheri!
manenio ya adhahabu haya
nidai peremende!!
utamwanzaje bwana?we ongea kwa lugha za malaika tu ishara nying sanaaaaaaa yeye atajua tu apa kunamvua....
LUGHA YA KIKE NI MATENDO....mpe action aisome movie..
pole ...mweeeee ivi inakuwaje mpk inakutokea hali i?
dah kaz bt pole mwaya....dna dna,lunch ivi,zawad za apa na pale+ CARING ZA APA NA pale mwenyewe ataisoma plate no..na KM hajavutiwa nae kimahaba atakwambia tu au utasoma reply zake bt USISEME KWA MDOMO.
...kwavile ni issue ambayo ni unpredictable inabidi nijiandae kwa lolote lile either kuvunjika moyo au kufurahia kuwa nae kama atafeel the same..natamani tu anianze, ila hii si itanifanya niwehuke!!!..
Sincerely, I'm so confused......Huyu kaka nafanya nae kazi ametokea kweli kuuteka moyo wangu, sidhani kama anaelewa hilo ila ninaongea nae kama marafiki wa kawaida. Yani sijawahi kujisikia kama hivi kwa mwanaume mwingine.
Huyu kaka nafanya nae kazi ametokea kweli kuuteka moyo wangu, sidhani kama anaelewa hilo ila ninaongea nae kama marafiki wa kawaida. Yani sijawahi kujisikia kama hivi kwa mwanaume mwingine.
So far nimevutiwa nae kwa jinsi alivyo pia hobbies zetu zinaendana. Ni kaka mcheshi, mkarimu, anavaa vizuri&smart(sidhani kama ni mzaire yani anang'aa nje ya nyumba tu).
Sijui kama yupo ''attached'' japo hajaoa kutokana na maongezi tunayokuwa nayo.
Je nimwambie ukweli? au atanifikiriaje?Nitaanzaje?Au nimsubiri azisome hisia?how?
NB: Nipo serious mana naamini hisia zangu za nguvu, namuwazia kuwa baba wa watoto wangu tukijaliwa kuwa wote🙂))
halafu unajiita FAITHFUL, kalaghabaohongera kwa kuvunja ukimya!ni pm nikufundishe,mimi wanaume wote niliowahi kuwapenda nilijua jinsi ya kuwaingiza line na hakuna aliyepindua waliingia kichwa kichwa!
another phobiamanenio ya adhahabu haya
nidai peremende!!
utamwanzaje bwana?we ongea kwa lugha za malaika tu ishara nying sanaaaaaaa yeye atajua tu apa kunamvua....
LUGHA YA KIKE NI MATENDO....mpe action aisome movie..
pole ...mweeeee ivi inakuwaje mpk inakutokea hali i?
dah kaz bt pole mwaya....dna dna,lunch ivi,zawad za apa na pale+ CARING ZA APA NA pale mwenyewe ataisoma plate no..na KM hajavutiwa nae kimahaba atakwambia tu au utasoma reply zake bt USISEME KWA MDOMO.
hongera kwa kuvunja ukimya!ni pm nikufundishe,mimi wanaume wote niliowahi kuwapenda nilijua jinsi ya kuwaingiza line na hakuna aliyepindua waliingia kichwa kichwa!
hongera kwa kuvunja ukimya!ni pm nikufundishe,mimi wanaume wote niliowahi kuwapenda nilijua jinsi ya kuwaingiza line na hakuna aliyepindua waliingia kichwa kichwa!
😛eace::A S thumbs_up:Niliwahi kuuliza humu ndani kama kutongoza ni kosa na wengi walinijibu kuwa sio kosa ila kosa ni ile process yenyewe,tatizo ni kwa wanamama ndio ambao wamejiwekea mazingira ya kuonekana very very expensive kiasi mtu anaweza kukufuata akapata majibu yatakayomfanya ajute kukufahamu.Inawezekana kabisa kuwa kijana naye amekupenda ila anaogopa kujivunjia heshima yake kutokana na jinsi wewe ulivyo decent,maana baadhi yenu mkifuatwa na watu walio karibu yenu huwa mnawaambia yaani hata wewe,na nilivyokuwa ninakuheshimu?Sasa kijana anakuwa mzito kukuanza ila ushauri mzuri ni kuvunja ukimya na mtafutie sehemu nzuri ambayo anaipenda umpeleke na uongee naye taratibu nadhani atakuelewa.I wish you all the best in getting the father of the nation.
Huyu kaka nafanya nae kazi ametokea kweli kuuteka moyo wangu, sidhani kama anaelewa hilo ila ninaongea nae kama marafiki wa kawaida. Yani sijawahi kujisikia kama hivi kwa mwanaume mwingine.
So far nimevutiwa nae kwa jinsi alivyo pia hobbies zetu zinaendana. Ni kaka mcheshi, mkarimu, anavaa vizuri&smart(sidhani kama ni mzaire yani anang'aa nje ya nyumba tu).
Sijui kama yupo ''attached'' japo hajaoa kutokana na maongezi tunayokuwa nayo.
Je nimwambie ukweli? au atanifikiriaje?Nitaanzaje?Au nimsubiri azisome hisia?how?
NB: Nipo serious mana naamini hisia zangu za nguvu, namuwazia kuwa baba wa watoto wangu tukijaliwa kuwa wote🙂))
MMH! am impressed, kumbe inategemeana na flow ya body language pia kutamkiwa eeh..
kwanini inatake time ku-sink in??? inakuwa hujamfeel binti au uko na wako mwingine?
Ndiyo mana kuna mdau alimention wanaume mna slow response hivyo nimekusoma unavyopenda mambo pole pole..not misinterpreted at all usijali..
hiyo ya pili hapo, kwavile ni issue ambayo ni unpredictable inabidi nijiandae kwa lolote lile either kuvunjika moyo au kufurahia kuwa nae kama atafeel the same..natamani tu anianze, ila hii si itanifanya niwehuke!!!..
Sincerely, I'm so confused..
Tena zaidi ya nenoNL......hili nalo neno.