Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,252
- 10,497
Nathan kuvutiwa na mtu mwenye jinsia tofauti ni jambo la kawaida. Ila nakushauri usimwambie. Yawezekana wewe umevutiwa sana na huyo mkaka lakini wewe hujamvutia kivile hadi akuambie. Ni dhahiri kwamba kama hujamvutia kwa kiasi fulan, hata ukimwambia anaweza akakubali ili akumege kisha akupotezee kiana. Hapa ndipo utaona tamu na chungu ya kupenda pasipopendeka.
ni mawazo mazuri ila huo uoga ndio unatufanya tuangukie tusipopapenda na tupoteze nafasi kufanya chaguo la moyo.