Ameuteka Moyo Wangu!!!!

for the first time eversince nimemfahamu BJ.......
:A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1:
 
Kupenda usipopendeka mmmh:A S-alert1:

hiyo ndio hofu yangu, BJ umeshajua kama huyu kaka hana uhusiano mwingine?mwanaume hakataagi, kama akiona umelianzisha mwenyewe japo yupo kwenye uhusiano atakubali ili atimize haja zake...otherwise unaweza kuwa karibu nae, ukiendelea kumsoma vizuri, wkend moja moja mkaribishe lunch home bila kumweleza lolote, story za hapa na pale....kama mnamawacliano ya fone mtumie sms nzuri nzuri, sio za i luv u.....hapana....mpe maneno matam/mazuri..atakapobugi step kufungua kinywa chake kukueleza jambo ulilokuwa unalitamani usichezee chancee..ui2mie ipasavyo kukamilisha lengo lako.....kama ni rijali kama wanaume wengine atahamacka lazima.
 
Maskini Belinda pole sana mapenzi yanautesa moyo wako.
Nadhani sasa uanze kutumia Body language ipasavyo
 
hiyo ndio hofu yangu, BJ umeshajua kama huyu kaka hana uhusiano mwingine?.

Tupo pamoja mm hofu yangu kubwa jamaa anaweza akamchezea weeeeeee akisha chuja anachapa mwendo si kajipeleka mwenyewe
 
hiyo ndio hofu yangu, BJ umeshajua kama huyu kaka hana uhusiano mwingine?mwanaume hakataagi, kama akiona umelianzisha mwenyewe japo yupo kwenye uhusiano atakubali ili atimize haja zake...otherwise unaweza kuwa karibu nae, ukiendelea kumsoma vizuri, wkend moja moja mkaribishe lunch home bila kumweleza lolote, story za hapa na pale....kama mnamawacliano ya fone mtumie sms nzuri nzuri, sio za i luv u.....hapana....mpe maneno matam/mazuri..atakapobugi step kufungua kinywa chake kukueleza jambo ulilokuwa unalitamani usichezee chancee..ui2mie ipasavyo kukamilisha lengo lako.....kama ni rijali kama wanaume wengine atahamacka lazima.
:A S thumbs_up:
 
Kweli kabisa, mi mwenyewe naamini mtu ukiwa na hisia juu ya mtu unamwambia ili uwe free ila akinifikiria hivyo je na mimi ni mwanamke?! Inabidi niwe na kifua kweli kweli cha kumwambia.

ni kweli lazima uwe mwangalifu katika kumwambia asije akakuona tofauti na pia usisubiri hadi asome hisia zako mwenyewe unaweza kukuta hana tym hadi mwingine akakuwahi bure. So take risk but a CALCULATED ONE
 
Huyu kaka nafanya nae kazi ametokea kweli kuuteka moyo wangu, sidhani kama anaelewa hilo ila ninaongea nae kama marafiki wa kawaida. Yani sijawahi kujisikia kama hivi kwa mwanaume mwingine.
So far nimevutiwa nae kwa jinsi alivyo pia hobbies zetu zinaendana. Ni kaka mcheshi, mkarimu, anavaa vizuri&smart(sidhani kama ni mzaire yani anang'aa nje ya nyumba tu).
Sijui kama yupo ''attached'' japo hajaoa kutokana na maongezi tunayokuwa nayo.
Je nimwambie ukweli? au atanifikiriaje?Nitaanzaje?Au nimsubiri azisome hisia?how?

NB: Nipo serious mana naamini hisia zangu za nguvu, namuwazia kuwa baba wa watoto wangu tukijaliwa kuwa wote:)))

...angalau BJ umetuletea thread ya ki utu uzima hapa :thumb:
will be back!...
 
Huyu kaka nafanya nae kazi ametokea kweli kuuteka moyo wangu, sidhani kama anaelewa hilo ila ninaongea nae kama marafiki wa kawaida. Yani sijawahi kujisikia kama hivi kwa mwanaume mwingine.
So far nimevutiwa nae kwa jinsi alivyo pia hobbies zetu zinaendana. Ni kaka mcheshi, mkarimu, anavaa vizuri&smart(sidhani kama ni mzaire yani anang'aa nje ya nyumba tu).
Sijui kama yupo ''attached'' japo hajaoa kutokana na maongezi tunayokuwa nayo.
Je nimwambie ukweli? au atanifikiriaje?Nitaanzaje?Au nimsubiri azisome hisia?how?

NB: Nipo serious mana naamini hisia zangu za nguvu, namuwazia kuwa baba wa watoto wangu tukijaliwa kuwa wote:)))
Nahisi kaa vile mimi....! Hebu vunja ukimya nijue kama ndio mimi, kama ndiyo basi nitakupokea regardless of an approach you use, provided I get your message....!
 
Tupo pamoja mm hofu yangu kubwa jamaa anaweza akamchezea weeeeeee akisha chuja anachapa mwendo si kajipeleka mwenyewe

hata ingekuwa ni wewe mrembo kama BJ kajileta, utamwambia hapana nina galfnd/mchumba? lazima utafanikisha utakacho then BJ akija gundua huna lawama coz alikufata mwenyewe.
 
Huyu kaka nafanya nae kazi ametokea kweli kuuteka moyo wangu, sidhani kama anaelewa hilo ila ninaongea nae kama marafiki wa kawaida. Yani sijawahi kujisikia kama hivi kwa mwanaume mwingine.
So far nimevutiwa nae kwa jinsi alivyo pia hobbies zetu zinaendana. Ni kaka mcheshi, mkarimu, anavaa vizuri&smart(sidhani kama ni mzaire yani anang'aa nje ya nyumba tu).
Sijui kama yupo ''attached'' japo hajaoa kutokana na maongezi tunayokuwa nayo.
Je nimwambie ukweli? au atanifikiriaje?Nitaanzaje?Au nimsubiri azisome hisia?how?

NB: Nipo serious mana naamini hisia zangu za nguvu, namuwazia kuwa baba wa watoto wangu tukijaliwa kuwa wote:)))

Niliwahi kuuliza humu ndani kama kutongoza ni kosa na wengi walinijibu kuwa sio kosa ila kosa ni ile process yenyewe,tatizo ni kwa wanamama ndio ambao wamejiwekea mazingira ya kuonekana very very expensive kiasi mtu anaweza kukufuata akapata majibu yatakayomfanya ajute kukufahamu.Inawezekana kabisa kuwa kijana naye amekupenda ila anaogopa kujivunjia heshima yake kutokana na jinsi wewe ulivyo decent,maana baadhi yenu mkifuatwa na watu walio karibu yenu huwa mnawaambia yaani hata wewe,na nilivyokuwa ninakuheshimu?Sasa kijana anakuwa mzito kukuanza ila ushauri mzuri ni kuvunja ukimya na mtafutie sehemu nzuri ambayo anaipenda umpeleke na uongee naye taratibu nadhani atakuelewa.I wish you all the best in getting the father of your children.
 
hata ingekuwa ni wewe mrembo kama BJ kajileta, utamwambia hapana nina galfnd/mchumba? lazima utafanikisha utakacho then BJ akija gundua huna lawama coz alikufata mwenyewe.

Ukiona mwanaume anakataa mwanamke aliye jipendekeza huyo lazima atakuwa na mushkeli aidha mwanamke mwenyewe viwango havijitoshelezi au mwanaume mwenyewe hana kiu
 
Ewaa....
Sasa hebu mfanyie BJ kitchen party umpe mamikakati ya mabodi langueji......unaweza!

i will try ma best.....sasa hebu hapa niambie luv, wewe kama wee mwanamke akikufata na kuku approach utalichukuliaje? sema ukweli umwaibishe shetani!:pray:
 
Ukiona mwanaume anakataa mwanamke aliye jipendekeza huyo lazima atakuwa na mushkeli aidha mwanamke mwenyewe viwango havijitoshelezi au mwanaume mwenyewe hana kiu

Aisee Fidee, activate avatar yako, ilikuwa inanichekesha kinoma jinsi inavyo move
 
Ukiona mwanaume anakataa mwanamke aliye jipendekeza huyo lazima atakuwa na mushkeli aidha mwanamke mwenyewe viwango havijitoshelezi au mwanaume mwenyewe hana kiu

hapo ndio shida inapoanzia kwa cc wanawake kuanza hii mambo.
 
Yani acha tu, naona vitendo viongee zaidi ya live ila bado najipanga..akikubali dinner itakuwa walaaah Yani acha tu, naona vitendo viongee zaidi ya live ila bado najipanga..akikubali dinner itakuwa walaaah

kuanza akikubali dinner,tayari huko huko lazima yeye ndio atakuanza..hahahaah,wanaume wa kiafrica wenyewe ndio wanawatoa watu dinner ...,ukiwatoa that means unamtaka.!..he will definetely make his move tonight...dont worry...lol......wewe ni kumualika tu for dinner,the rest will follow....naturally:embarrassed:

Yani Fab umeona eeh..lakini kwa mazingira tuliyopo anaweza kuelewa japo si unajua asili ni ngumu kuacha!
Sawa basi, dinner will do...halafu yeye asome alama za nyakati

Kuwa makini maana tayari inaonyesha una mtamani labda yeye hakufeel kabisa unaweza ishia kumegwa tu na jamaa akachapa rapa na kukuachia maumivu ya kidonda ndugu ukaja kujuta kupenda na ukatuchukia wanaume wote duniani

Ni kweli wangu inahitaji umakini mana nilivyo serious usikute huyo kaka hana habari nami nikatendwa na kuumizwa..shukrani nitazingatia huo ushauri,blessed!!

Niambie tu BJ! Usihofu sitakuangusha

Ha ha..umenifanya ni-smile kwa screen!!..ingekuwa kirahisi hivyo mbona raha..

BJ mie ni mwanaume, nakushauri hivi,
1.Mwombe Mungu aepushe brabra zozote za ujana na Shetani.
2.Ongea na spritual chaplain wako,au pastor/priest, mwambie hiyo scenerio,
3.muulize dhehebu lake,au kama unlijua mwombe mwende kwa huyo chaplain awaunganishe..
N.B...Fanya yote hayo baada ya kujiridhisha kuwa anaelekea kwenye anga zako......pia ushauri wa wadau hapo juu ka SINIORITA ni mzuri...ukifanikiwa usisahau kurudi na kumwaga mambo hapa jamvini........au nifikirie na mie,,,

Amen Yotebatili..nashukuru kwa ushauri wa kiroho..mimi ni kati ya watu wanaoamini kwenye upendo na kuwa na mwenza maishani japo tu hii situation yangu ni ngumu kumfuata mwanaume.. je wewe una mke?au upo kwenye mahusiano?
Kweli sitofanya papara kwenye hili ila hisia kali, naomba tu uniombee ndugu yangu!!..nitarudi jamvini kwa ushuhuda
 
BJ mie ni mwanaume, nakushauri hivi,
1.Mwombe Mungu aepushe brabra zozote za ujana na Shetani.
2.Ongea na spritual chaplain wako,au pastor/priest, mwambie hiyo scenerio,
3.muulize dhehebu lake,au kama unlijua mwombe mwende kwa huyo chaplain awaunganishe..
N.B...Fanya yote hayo baada ya kujiridhisha kuwa anaelekea kwenye anga zako......pia ushauri wa wadau hapo juu ka SINIORITA ni mzuri...ukifanikiwa usisahau kurudi na kumwaga mambo hapa jamvini........au nifikirie na mie,,,

Wewe mwenyewe unaitwa YOTE UBATILI, hapo lazima kila kitu ukione ni ubatili mtupu, eti spiritual....... wao wenyewe ndio wa kwanza kwa ku'fall'wa waumini. Love is natural acha blabla bwana. Halafu wewe YU unanitia wasiwasi sana kama umeoa sijui umeolewa utakuwa unaona hata kufanya tendo la ndoa utakuwa unaona ni ubatili!!
 
Back
Top Bottom