Ameua kakimbia

Aurora

JF-Expert Member
May 25, 2014
7,308
5,270
Gari la Nissan patrol kama si Toyota lina milango minne na nyuma wazi kama pickup jeupe limeua MTU mabibo na kukimbia T 832 B..F ya katikati sikumbuki,anaendesha kakaka kadogo na alikuwa kapakiza MTU pemben yake
 
Safi sana mkuu, kwa ushujaa wako huo wa kunakili tiyari gari husika limeshabainika....

Muda si mrefu atatiwa hatiani
 
Gari la Nissan patrol kama si Toyota lina milango minne na nyuma wazi kama pickup jeupe limeua MTU mabibo na kukimbia T 832 B..F ya katikati sikumbuki,anaendesha kakaka kadogo na alikuwa kapakiza MTU pemben yake
Rear posts..! Thanks
 
Kwa Serikali hii ya anko Magu lazima huyo kilaza adakwe.
R. I. P marehemu.
Go @Magufuli go, ulipo tupo.
 
Alitokea barabara ya loyola ila kagonga mtu maeneo ya mabibo stand then kakimbilia kuelekea mabibo sokoni
Watu wa Bodaboda hawakushuhudia mchezo nini?, maana wangemkimbiza mpaka mwisho wake
 
Gari la Nissan patrol kama si Toyota lina milango minne na nyuma wazi kama pickup jeupe limeua MTU mabibo na kukimbia T 832 B..F ya katikati sikumbuki,anaendesha kakaka kadogo na alikuwa kapakiza MTU pemben yake
Hope watachukulia hii kwa umakini!
Magari 24 ni rahisi kuchuja, labda pickup nyeupe itakua moja tu kati ya hizo namba
 
Watu wa Bodaboda hawakushuhudia mchezo nini?, maana wangemkimbiza mpaka mwisho wake
Alivyozungusha hilo gari na kukimbia ilikuwa kama movie,huenda hata kaenda kusababisha madhara mengine mbele ya safari
Watu wa Bodaboda hawakushuhudia mchezo nini?, maana wangemkimbiza mpaka mwisho wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom