Ametishia kunishtaki kwa mke wangu kwa sababu ya makofi.!

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
3,979
5,295
Niende madani....! Tafadhali naomba tuweke mihemko pembeni, matusi hayajengi.

Nipo mahusianoni na binti(mwanamke wa miaka 27)... sasa nikilewa mimi huwa na 'fantasy' za ajabu mno.

Nimekuwa namchapa makofi 'unsexually' tukiwa faragha. Kwa mfano kama juzi, nikakaa kitandani akavua nguo zake kisha akalala mapajani kifudi fudi.

Nilikuwa nimelewa hivyo nikaanza kumchapa kimahaba. Kadri muda ulivyoenda nikaongeza uzito wa makofi.

La haulaaaa! Kuhamaki binti mzuri analia machozi na 'speed' ya kiganja changu imefika 5000 'RPM'.

Akataja jina la mke wangu, ndiyo kumbukumbu kunirejea pale na kugundua nilikuwa nimemuumiza kiasi.

Makalio yalikuwa mekundu mno...! Nikaomba samahani na kumueleza nikilewa nakuwa 'maniac'. Akashangaa sana!

Kama haitoshi nilimuachia hela ya kutosha tu siku hiyo. Sijui kama aliimaliza au la, ila jana tena ametishia kuja kumuambia mke wangu kuwa nimemuumiza makalioni.

Kipi anatafuta? Je, ni mizaha ya kike?
Anataka kutumia nafasi hii ani blackmail?

Pia nisaidieni mno madaktari... nikilewa nakuwa 'maniac' mno. Nakuwa napenda 'rough sex' mno na ya nguvu.

Msibeze, nina maana yangu kulileta hili humu.

NB

Maneno ndani ya funga semi si rasmi, au ni ya kiingereza.
 
huwa unamfanyia hivyo hata mkeo?
 
5000RPM ya kofi
 
88905CD4-F2B9-46AC-831C-249FF92B6C59.jpeg
 
Hehehehe
lipia tangazo la biashara mkuu
 
Mkuu si juzi tu umetuasa vijana tuache kucheza na vibinti vya watu yasijeyakatukuta mabalaa, then ukashusha uziwingine vijana tuache zinaa itatuletea mikosi tushindwe kutoboa maishani.
Kumbe na we mwenyewe umo, astaghafilulah, kumbe ulikuwa unatutisha ili uvifaidi peke yako, tumeshtuka hatuviachi tunavicharaza mwendo ule ule
 
Back
Top Bottom