Ameshakula hela yake nyingi, afanyeje aachane naye?

Ameshakula hela yake nyingi, afanyeje aachane naye?

loyda

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2014
Posts
436
Reaction score
128
Habari zenu wakuu
Naamin mnaendelea vizuri na Ujenzi wa Taifa
Nisiwachoshe niende moja kwa moja kwa point, Nina Shost yangu kifupi tunashibana sana ila mwenzangu ni Mke Wa MTU kaolewa miaka 3 imepita.

Kuna kipindi walipitia misuko suko na ndoa yake(kwa jinsi alivyonambia ktk kipind hicho alikutana na baba mmoja tena barabarani akasimamisha Gari akampleka alikokuwa anaenda toka siku hyo wakafahamiana na huyo baba.

Baadae huyu baba akamuaproch shost, lakini Shost akamweleza matatizo yake na mumewe wameenda yule baba akawa anamshauri aondoke nyumbani kwake.

Huyo baba atamgharamikia kwa kila kitu kifupi awe nyumba ndogo yake, bidada hakumpa jibu (kwa maelezo yake) katika wakati huo huyo baba anamwaga mahela sana kwa Shost nae bidada akawa anazila tu BT anadai hakuwahi kumuomba hata siku moja.

Ikafika kipindi amani ikàrudi na mumewe sasa wanaelewana.

Ishu imekuja kwa bidada ananiomba ushauri kesha kula sana pesa za yule baba lakini hawajawahi Fanya lolote (Mbaba hakuwa na haraka anataka apate nyumba ndogo)shoga yangu hamtaki huyo Mbaba japo Mbaba ana matarajio Shost atoke kwa mumewe akapangishiwe nyumba.

Naombeni mnisaidie tumshauri huyu Rafiki yangu kanieleza nikamwambia tuonane.
Point yake anampotezeaje huyu baba ikiwa ameshatumia pesa zake nyingi amefika mbali anadai amrudishie ili aachane nae akiwa na amani.

Wakuu toeni michango yenu.
 
Kiwango cha imani nilichonacho hakitoshi kumuamini.... Nahitaji imani kubwa sana kumuamini..''Ongeeza imani yetu''
 
kwanza pole, najua umetumia nafsi ya tatu kuelezea tatizo lako, sasa ikiwa migogoro ya ndoa imekwisha atulie na jitahidi kumkwepa huyo mbaba unae mwita hivyo.....
 
Tobaaa nazi imepata mkunaji ye ampe tu hio kitu na kama ni gharama alizoingia amwambie ukweli awe mvumilivu akitaka papuchi atampelekea si alipewa bure sa kuiringia ya nini?
 
the network is trying to connect......................please wait
 
Kiwango cha imani nilichonacho hakitoshi kumuamini.... Nahitaji imani kubwa sana kumuamini..''Ongeeza imani yetu''

Unataka umuamini upande gan mkuu
 
Awe mkweli tu kwa huyo baba...amwambie kuwa anahitaji ku try again na ndoa yake...na uwezo wa kumlipa hana...halafu amsikilize huyo baba atasemaje...
 
kwanza pole, najua umetumia nafsi ya tatu kuelezea tatizo lako, sasa ikiwa migogoro ya ndoa imekwisha atulie na jitahidi kumkwepa huyo mbaba unae mwita hivyo.....

Lol hapa ndo mwisho Wa akili yako kufikiri???
 
Ndoa: Taasisi ngumu sana kuwajibika nayo - Mimi
 
Tobaaa nazi imepata mkunaji ye ampe tu hio kitu na kama ni gharama alizoingia amwambie ukweli awe mvumilivu akitaka papuchi atampelekea si alipewa bure sa kuiringia ya nini?

Hahahahaa apeleke papuchi tena?
 
Hapo huyo mzee amekula hilo goma mwambie asikufiche tu,na kama hamtaki kwanini amkwepeshe?
Ukisebusebu unamsumbua huyo mdada asiyejielewa
 
Awe mkweli tu kwa huyo baba...amwambie kuwa anahitaji ku try again na ndoa yake...na uwezo wa kumlipa hana...halafu amsikilize huyo baba atasemaje...

Hapo my instincts zinaniambia huyo mbaba ameshajilia sana sema anataka kwenda extra mile kwa kumuharibia kabisa ndoa ya huyo mdada
 
Awe mkweli tu kwa huyo baba...amwambie kuwa anahitaji ku try again na ndoa yake...na uwezo wa kumlipa hana...halafu amsikilize huyo baba atasemaje...

Asante kwa ushauri de boss!
 
Back
Top Bottom