Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,330
- 17,857
Ni vizuri kuwa umeliona hilo,usirudie tena hayo makosa kwa huyu au yeyote atakayefuata.
All the best.
teh teh teh
mi amenirudia kakonda mpaka nimemuonea huruma binti wa watu
yetu tumeyamaliza , kazi kwake huyu jamaa!!
mbona ye hakumuonea huruma aliyemuacha?
Mmeanzana?😕
Kama hakuna aliyetanguliza mpaka sasa!!!!!!
Nilmtahadharisha kuhusu #teambazazi na matumizi ya fursa lol
I totally agree with you hun but love should be a 'two way' thing. You should both be able to share the same feelings and love should be reciprocated, maybe not with the same degree but atleast unakua na uhakika kwamba na ww unapendwa. But putting myself in the lady's shoes i do understand her, mm my ex alinitamkia tuachane and even though i loved him very much i chose not to fight him, nikamjibu poa na kusepa zangu kumbe alikua anatingisha kiberiti kuona kama bado kimejaa but what he forgot is that wengine wetu hatujaribiwi. I did move on na hata alipojaribu kuniomba msamaha it was a lil too late. Ndo maana huyu kaka namshauri apige moyo konde aendelee na maisha yake coz even if the lady takes him back asiwe na uhakika she got back to him becoz she loves him, wengine wanatafuta tu revenge,atarudi kukuumiza bure!
......ukishaweka too much #EXPECTATIONS kwa binaadamu matokeo yake ndio hayo.
Kwanini unamfanya huyo binti ndio #UfunguoWaFuraha ya maisha yako?
Ulichukua uamuzi mgumu ingawa wa busara kuachana nae kwa #FaidaYako , ila sasa unatamani uendelee kuburuzwa ee?
View attachment 159524
#MosKwito !
thanx lakin linaleta majuto na nguvu ya kujishusha! Kamoyo kakanywea... Yaan toka babe, sijui switii...ooh.. Mara Honey! Leo ikawe shemeji?
Hapo unaanza upya kumuwinda mtu wako ili myamalize!
Nashukuru mbebe umerudi kundini, tunaitana kama zaman!
Sasa Senior Boss, shouldn't you be saying these things to her rather than trying to find justification for your wrong doings. Kama kweli unampenda and she's all that to you mtafute, do the right thing and make yourself happy rather than making yourself all miserable. And if you really love her as much as you say it then talk to her, tell her your worries & concerns & make amends. Maybe yy sio mzuri sana wa kuji express ndo maana she silently walked away akakuacha na mambo yako, not everyone is a fighter and you should know that.
We hapo kula buyu tuu.
Njia nzuri zaidi, kua kama mm, binti akianza mchezo na moyo wangu hua natafuta mbadala wake anakua kama "panadol" kutuliza maumivu. Kinachokutesa wewe hukuweka backup, kwani huoni ile generator pale kwa office? Haiachi pengo yaani umeme ukileta nyodo tuu jamaa anaanzisha uzalishaji. Pole kwa taabu zote, mimi nimeshapitia hapo na sasa niko na mwingine ambaye simpi 100!
Mmesharudiana?
Una hela mkuu? Mapenzi ya Romeo & Juliet yalikwisha kitambo! Halafu naona Kama hujiamini vile.
Issue is atakua ana act vile sababu nimeishi nae kwa muda mrefu kidogo bila kua na interest ya ndoa. Ndio maana. Sasa kwa kua kosa langu nimeshalijua, ntafanya marekebisho. I know her in and out. I'm 100% sure niki propose marriage hachomoi. I will do just that. Tumeshafanya mambo mengi sanaa.