Ameshajua nampenda, basi ndio ananikomoa

Ameshajua nampenda, basi ndio ananikomoa

Pole sana mkuu ila suala lako linafanan na mimi ingawa me ni miez miwili tu, mwanamke ananiambia anatakA kupunguza kasi ya mawasiliano kwani atazoea vibaya. Ninajiuliza maswali mengi kuwa amepata mwingine au?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Yaweza ikawa hana mapenzi ya dhati au ana onja tu.
 
Hebu acha utani man.. we hujawahi kupenda nini ?? Mtoto wife material kupita maelezo !!!

sasa kilichokufanya umbwage mtoto wa watu ni nini? Muache anenepe uendelee kukonda! Na ukiona siku yupo na jamaa mwingine ndo utaaga dunia kabisaaa! Loh ! mapenzi niue !!
 
pole sana mchizi, nashukuru mi na mpenz wngu tumeyamaliza!
 
Hapo sasa ndo inanibidi kutumia ung'eng'e wa Madam Sepetu wa Sepetunga! DO THE UNEXPECTED,! Girls love the unexpected all the time! Well i do all yhe time!

Yeye hapo kakuweka kama bandibu flani, ambae hata jua lishuke, hutojishusha chini ng'ooo! Sasa kesha u tune moyo wake kukuignore u n ya cold heart!

What will work is play the FOOLS CARD! Jishushe, mlambe miguu, bw a nice mna! Chori chori chupke chipke! Send her flowers on tuesday without a reason, send her a gift on wednesday because its wednesday, mpikie, be romantic! This will throw her off balance!

GOOD LUCK,!

imetulia sana hii!
 
mwache tu kama yule wa mwanzo.. sasa hutaki unataka nini afu ukifanya kweli huyo binti hataamini pia kama umeweza kumwacha itamtesa mwee
 
Anza tu kumuita shemeji maana soon atapata anayejua the right thing kumfanyia wife material ni nini.

we Ennie hivi unajua neno lako hili ni moto wenye makali , hasa kwa mtu kama huyu!
Lilinichoma sana hili neno , siku ulipolitumia kwangu!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom