Ameshajua nampenda, basi ndio ananikomoa

Ameshajua nampenda, basi ndio ananikomoa

Hebu acha utani man.. we hujawahi kupenda nini ?? Mtoto wife material kupita maelezo !!!

Mzee mwanaume awi na kauli mbilimbili ukithubutu kurudiana nae utajuta mkuu' tafuta demu mwingine kuumizwa ni sehemu katika safari za mahusiano kaka...
 
Be a man and grow some balls, maisha yenyewe mafupi kwanini ujitundike roho, ukonde. Nenda kaombe msamaha...anaekwambia sijui usirudi she will take you for advantage mmmh siafikiani nae 100%.

I am talking on woman perspective 2 1/2 yrs unalalwa, pika pakua bila hata dalili ya kuonyesha una nia ya kuwa nae maishani its big turnoff. We have biological clock and you have been a time waster, I must say. Kama uliweza kuwa na mchumba awali na kumweka rasmi as future Mrs, sioni kwanini hukudhihirisha hilo kwa huyu dada.

Swallow your ego .....asikwambie mtu ...mapenzi hayana formula...walishindwa Adam na Samson sembuse wewe. Ndo hivyo umebanwa pabaya. Senior Boss
 
Pabaya kidogo ndugu...ni balaa sana ...usiombe ukapenda chief...yasikie nyumba ya jirani. Ni kujifanya mjinga tu....kama anaficha hisia zake bas she z damn good. Mtu anaku control in a way unajiona we ndio mwenye shida.
 
Sasa ulikuwa watingisha kiberiti...ukakuta kimejaa:blabla::blabla::blabla:. Nyie wanaume mna vituko mpaka muweke on the spot ndo mtacommit. Maana asingefanya hivi...ungeendelea kummega kwa miaka kadhaaa ijayo....bila dalili. Hebu ipe heshma ya mapenzi yenu by commiting..ufurahikie maisha.
 
Huyo hakupendi na ilikuwa ni relief kwake ulimwabia muachane! Mwanamke anayekupenda ukimwambia habari ya kuachana huwa anaumia sana.
Put that in your mind, she doesn't love me! Get distracted, avoid her. Yaani futa kila kumbukumbu yake Facebook, instagram, phone contact fanya kumsahau

Dah ukisema hvyo mkuu unanikata maini mazee....dah ni kama umeenda hospital una kikohozi kikali alaf kabla doctor hajakupima anakuambia una ngoma. Hahaha balaa sanaa.
 
Kawaida, after two weeks utazoea. Wanawake wengi sana kuliko wanaume

Ni kweli, lakn wangap wana mapenzi ya kweli ?? Watu wanaangalia mfuko ndugu na kuishia kutafuna hela zako tu....few watakushauri ya maana.
 
Mkuu Kwani Penz Alikua Hakup? Au Ulikua Unapenda Ku'Hang Nae Tuu Outing, Halaf Mapenz Siku Zote Yanaanza Na Matamu Calls Kwa Wingi Lakin Badae Zinapungua Izoo Lakin Mzigo Bado Utaendelea Kula.... Acha Hayo Mambo Mfate Mtoto Ukaendelee Kula Maisha Kimya Kimya Si Mpaka Jamii Ikuone Unakula
 
Time is the best healer but not the way want it you heal you, what goes around comes around, kuna mtu alikuwa wako ukamtosa coz ya bidada huyo so nawe ukitoswa pana ubaya? oooh nikamuacha mie ila naumia yeye ana nawiri khabar take almasi na wema sepetu hiyo sema ulisoma alama ukajua utamiminwa kama sio kumwagwa ikabidi ujitoe kimasomaso.
Story ina chumvi na ndimu kiduchu kuna ukweli mwingine hujausema, so move on my dear brother hiyo kitu inawakuta wengi na si kulaumu wanaume au wanawake wote tunatendana.
 
POLE SANA,MIE NDO NAMDAUNILODI kama ulikuwa hujui,humpati tena ng'oooo
 
POLE SANA,MIE NDO NAMDAUNILODI kama ulikuwa hujui,humpati tena ng'oooo

Hahahaha haya banaa....wanasema ukiona mwanamke mzuri ujue kuna mwanamme mwenzio ashakua fed up nae...after sumtym u too will feel tha same and be on tha list.
On my side im not fed up with her i still love her soooo much. Dah Its like sioni dem mwingine wa kum replace.
 
Kwani mkuu bado hujasawazisha tu mpaka leo?
 
Ego kills na hapa ndio wanaume wengi hukosea . Mtu kusema am sorry, nakupenda , I still need you anaona ataonekana -----. We live once , but if we live it fully once is enough . Kama unampenda mtu hutaona kiburi kujishusha na kuonyesha upendo . And dont assume one will read your mind , say it ili hata akitakaa useme well I played my part and I played it well . "Ego Kills love"
 
yawezekana aloishatendwa huyo dada hivyo ulivyomwambia muachane akajua ni walewale akaudanganya moyo ukatulia.
pia kama ulianza badisha tabia mapema ndo akawa anajizoesha utaondoka mda wowote. kikubw hapo muite umwambie kila kitu aamue yeye kunyamaza hivyo ili ajishushe yeye kama wanaume mlivyozoea itakugharimu best.
huo mfumo dume jinga hautakusaidia
 
Kwani mkuu bado hujasawazisha tu mpaka leo?

Tayari nlishazawazisha na tuko fresh now hzi post za watu za sasa hvi i was just tryin to express how tha situation was before....ila saa hvi kila kitu bien.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom