Ameshajua nampenda, basi ndio ananikomoa

Ameshajua nampenda, basi ndio ananikomoa

ulimuacha wakati bado unamuhitaji, ndio maana wanasema kufikiri ni muhimu kabla ya kuamua, busara ikuongoze sio hasira na fikra mbaya. hapo ya kumfanya yeye haumie hakuna, cha muhimu endelea kufanya mambo yako mengi. endapo utahitaji msaada nipe no yake nikusaidie kumuumiza zaidi.

Huna hadhi ya kua nae. She z outta ur league.
 
Wewe ndio una matatizo umemwecha mke ukadaka shangingi ambolo linakusumbua uwe na msimamo acha macho miamia ndugu utakufa siku si zako

Huyu wa sasa ndio anasifa zote za kua wife. Huyu mtoto atakua anataka ndoa.
 
Hakuna cha kuvimba kichwa. Ushauri wa madam Lara1 is the best option vinginevyo utamkosa. Kumbuka wa kwanza ulishaharibu siyo rahisi kurudisha majeshi.

Ni kweli unachosema. I will work on it.
 
mkuu pole sana

Huyu anaonekana yuko sawa kwa sababu hajapata uthibitisho kuwa kweli umeendelea na maisha yako bila yeye.

la kufanya,jitahidi uanze mahusiano mapua,hata kama ni ngumu,na uhakikishe analifahamu hilo.

Pili jijali mwenyewe,kama hujanunua pamba mpya siku nyingi,jipe treat kidogo,hata kama ndani unaumia,nje uonekane happy.

Thanks for tha advice. Pamoja sana mkuu.
 
Nitajaribu aisee...tatzo nahisi atavimba bichwa !!! Dah..

Hapo ndo unapokosea,achana na hayo mawazo kwanza,just bring her back afu baada ya hapo talk to her mwambie asikufanyie jeuri,mweleze unavyoumia kwa ajili yake
 
Aise..ila nakusoma sana.. Hata mm naogopaga kweli kukamatwa kwenye situation kama hiyo..na ikizingatia sisi tunahudumia kabisa ada, hela ya kula nk dah noma..yaani uzi kama umetutungia wengine..

Aisee kumbe huwa mnaanguka mazima eee
 
Mm ushauri wangu.....'Move on man!'. Ulishaamua kubwaga manyanga na msichana hajaonyesha kuwa affected na hilo,its clear she didn't love you just as much as you love her,ukisema urudi kwake utakua kama unajichimbia kaburi lako mwenyewe,she will treat you whichever way she wishes coz anajua you need her more than she does you. Mapenzi yanatesa sana especially pale unapopenda usipopendwa,usiombe!

You said the right thing
 
Avatar yako na ushauri ata haviendan...senior boss alaf unaomba ushauri wa aina kukuaxha mdd unaempenda uk unamtaka loooh...embu kaka ako "the boss" aje akushauri...

Hiyo kitu haina cha bosi,mkurugenzi,director,malkia au mfalme jombaaaa
 
Aisee kumbe huwa mnaanguka mazima eee
Acha tu mkuu unaweza ukaingia mahali..ukakutana na mtu wife materialkabisa ..ila yeye akawa staki nataka..inakuwa balaa..au ukakuta yeye bado anaona kuna option zaidi yako inakuwa shida sana..
 
Samahani kama ntakuwa narudia ya wengine. Kaka swallow your pride. Kama mmekaa miaka miwili halafu mahaba yakaanza kudorora haikuwa dalili kwamba hakupendi. Hakuna mahali mahaba yanayodumu daima. Baada ya miaka miwili ndo mlikuwa mnaingia sasa kwenye uhalisia. Wengine yanadumu miezi, wengine wiki. Ukiona yaliyodumu miaka 5, 10....ujue kuna jitihada za makusudi za kuyapalilia. Ulitakiwa kuwa na subira na kama kweli ulikuwa unampenda sana sana ungekuja huku kuuliza jamani mahaba yamefifia, nipalilieje? Hapa nikikwambia utaje madhaifu yake matano uliyoyaona na kuyavumilia hiyo miaka miwili utaweza? Kwa mahaba mliyokuwa nayo sijui kama uliyaona.

Sasa mpenzi wako huyo kuondoka bila kulalamika wala kukonda haimaanishi kuwa hajaathirika. Kila mtu ana jinsi yake ya kukabiliana na changamoto. Huenda pamoja na kukupenda ameshukuru umemuacha mapema badala ya kuendelea kumpotezea muda. Ulitaka akulilie kama yule wa mwanzo ndo usikie raha ee? Kama unamkubali jishushe, omba radhi, toa sababu ni kwa nini unaona ni vyema mkarudiana na nini utafanya kumhakikishia usalama akirudi. Kujishusha na kuomba radhi ni "tabia ya kike" kwa mujibu wa wanaume ila unaweza kugusa moyo wa mwanamke kwa kumuonyesha "tabia za kike". Ukikosa omba msamaha, mpe attention,,,,Kwa ufupi poteza kidogo upate kikubwa. Usiogope kwamba anaweza kukataa. Akikataa basi, kwenye biashara kuna kupata na kupoteza. Bora ujaribu ushindwe.
 
wakipendwa wanaweka pozi mi nshachoka nikugegeda tu afu unatimua zako mazoea aku ctaki....wameniumiza sana hawa raia but for now i have a cold heart i don care.
 
wakati mnaendelea kuchangia mada hii mkumbuke Tanzania ni nchi ya pili kutoka mwisho kwa watu wake kuwa na low IQ.

duh haki ya mungu hii commment yako imeniuliza swali so? Nikjijibu na kusema hivi usidhani au watu wasifirie kwamba katika maisha haya huwezi kuishi bila mtu furani watu tusifikikie kwamba bila furani (mpenzi ,ndugu n.k) no life any more
 
Hiyo kitu haina cha bosi,mkurugenzi,director,malkia au mfalme jombaaaa

Hebu mueleze huyu jamaa....Kama kuna watu waliokuwaga wenye mioyo migumu na wabishi kwenye maswala ya mapenzi nahisi mimi nlikua naongoza list. Ila kwa hii issue nimesalim amri. Love issues hazina mjanja wake ndugu...At tyms mtu hata kazi zako unashindwa kufanya vizuri kisa mwanamke anakuchanganya akili. Acha kabsa !!
 
Samahani kama ntakuwa narudia ya wengine. Kaka swallow your pride. Kama mmekaa miaka miwili halafu mahaba yakaanza kudorora haikuwa dalili kwamba hakupendi. Hakuna mahali mahaba yanayodumu daima. Baada ya miaka miwili ndo mlikuwa mnaingia sasa kwenye uhalisia. Wengine yanadumu miezi, wengine wiki. Ukiona yaliyodumu miaka 5, 10....ujue kuna jitihada za makusudi za kuyapalilia. Ulitakiwa kuwa na subira na kama kweli ulikuwa unampenda sana sana ungekuja huku kuuliza jamani mahaba yamefifia, nipalilieje? Hapa nikikwambia utaje madhaifu yake matano uliyoyaona na kuyavumilia hiyo miaka miwili utaweza? Kwa mahaba mliyokuwa nayo sijui kama uliyaona.

Sasa mpenzi wako huyo kuondoka bila kulalamika wala kukonda haimaanishi kuwa hajaathirika. Kila mtu ana jinsi yake ya kukabiliana na changamoto. Huenda pamoja na kukupenda ameshukuru umemuacha mapema badala ya kuendelea kumpotezea muda. Ulitaka akulilie kama yule wa mwanzo ndo usikie raha ee? Kama unamkubali jishushe, omba radhi, toa sababu ni kwa nini unaona ni vyema mkarudiana na nini utafanya kumhakikishia usalama akirudi. Kujishusha na kuomba radhi ni "tabia ya kike" kwa mujibu wa wanaume ila unaweza kugusa moyo wa mwanamke kwa kumuonyesha "tabia za kike". Ukikosa omba msamaha, mpe attention,,,,Kwa ufupi poteza kidogo upate kikubwa. Usiogope kwamba anaweza kukataa. Akikataa basi, kwenye biashara kuna kupata na kupoteza. Bora ujaribu ushindwe.

Umesema kweli mkuu. I will work on that. Thanks.
 
Hebu acha utani man.. we hujawahi kupenda nini ?? Mtoto wife material kupita maelezo !!!

Huyo sio maji yako wala hakupendi kabisaa, alikukubalia kwa kukuonea huruma. Wala hata sio wife material kwako bali kwa mwingine ndo maana hata haoneshi kushtushwa na mifaraguo yako!
 
Nilichokuambia hujakielewa

Nimekuambia hivi;Unadhani kila analolipitia mwingine au kulishuhudia wengine nao ni lazima watalishuhudia au kuliona?

Sasa hapo juu unakuja na kuniambia inategemea nitaliona vipi wakati ninaweza hata nisilione kabisa

Unapotoa uzoefu wako wa kimaisha uzoefu huo kwa wengine unaweza kuwa haufai kwasababu huenda hawatalishuhudia unalolisema kwa aina yoyote ile hivyo usiseme kama vile maisha yote ni uniform

Unachokipitia wewe inawezekana ndio cha kwanza kwa binadamu kukipitia
Hivyo ndivyo maisha yalivyo!

acha uhun ww kijana n ktu gan kpya cha kimapenz ambacho mtz hajawah pitia?
 
Huyo sio maji yako wala hakupendi kabisaa, alikukubalia kwa kukuonea huruma. Wala hata sio wife material kwako bali kwa mwingine ndo maana hata haoneshi kushtushwa na mifaraguo yako!

Don't criticize something you don't kno or understand or something u've never been through. Seems hujaelewa mada.
 
Acha tu mkuu unaweza ukaingia mahali..ukakutana na mtu wife materialkabisa ..ila yeye akawa staki nataka..inakuwa balaa..au ukakuta yeye bado anaona kuna option zaidi yako inakuwa shida sana..

kabicha kk kabichaaa omba ickutokee unaweza kuwa kama CROUCH WA LIVERPOOL
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom