Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,671
- 167,734
Hongera sipati picha siku hiyo chozi lilivokumwagika unajimwaga tu chini kama maji....hahahahah
ndio tumeyamaliza ,kumbe nae alishindwa kuvumilia..nashukuru kavunja ukimya
tunaenjoy ka zaman

Sikiza mapenzi hayana mkubwa wala mdogo..hata kama nina ventures zangu za hela nyingi still when it comes to love issues we live and learn everyday...She z not tha first woman in my life. She iz just special and one of kind. I'm a changed man thanks to her. She z just a woman i don't wanna let go. She z much younger than me but still i gotta admit amenifundisha mambo mengi, hata mafanikio yangu yeye ana mkono wake pia. Ki ufupi she means a lot to me. We elewa hivyo. Hata wewe ukifikia stage hyo lazma utaona na ku feel a part of you z missing in you when she z gone.
Aisee!!!!!!!!!
Iko utakuja yaona na ww. Vuta subira.
Hahahahaha zipo definition nyingi na notes zinatofautiana kulingana na mwalimu wa somo, hiyo topic huwa ngumu sana.İ better go back to class. Labda topic ya "wife material" sikuielewa vizuri. Wife Material my foot!!!
Unadhani kila mmoja analoliona mwingine ataliona pia?
Inategemea utaliona vipi labda kwa mtu mwingine karibu na ww. No one knows tomorrow.
Nilichokuambia hujakielewa
Nimekuambia hivi;Unadhani kila analolipitia mwingine au kulishuhudia wengine nao ni lazima watalishuhudia au kuliona?
Sasa hapo juu unakuja na kuniambia inategemea nitaliona vipi wakati ninaweza hata nisilione kabisa
Unapotoa uzoefu wako wa kimaisha uzoefu huo kwa wengine unaweza kuwa haufai kwasababu huenda hawatalishuhudia unalolisema kwa aina yoyote ile hivyo usiseme kama vile maisha yote ni uniform
Unachokipitia wewe inawezekana ndio cha kwanza kwa binadamu kukipitia
Hivyo ndivyo maisha yalivyo!
Mkuu usishindane na mwanamke utaumia sanaaa
Habarini wakuu,
Sijui naanzaje kueleza maana nshachanganyikiwa anyway let me try.
Ni hivi, kuna mwanamke mmoja nina mahusiano nae takribani miaka miwili na nusu sasa. Sio siri/utani huyu mwanamke nimetokea kumpenda sanaa haijawahi tokea tena maishani mwangu yote kutokana na mambo aliokua akinifanyia.
Imefikia kiwango cha kuachana na mchumba wangu niliekuwa na malengo nae hapo awali instead nika fall kwa huyu mwanadada mwingine. Katika kipindi chote cha kuwa na mahusiano nae tumekua na ukaribu sanaa kiasi cha kusema tunaishi kama mke na mume.
Miezi 9 nyuma nili note kwamba uhusiano wetu unaenda ukififia, mazoea yame pungua. We don't hang out or talk often, hanichangamkii tena kama zamani and stuff like that nikahisi labda ana mtu mwingine au nimemuonyesha sanaaa hisia zangu kwake kiasi cha yeye kutumia hiyo kama silaha kuniumiza kichwa coz nahisi ameshajua nshazimika kwake mazima.
Sasa kukata mzizi wa fitina nikaamua kuachana nae na kumwambia kila mtu ale na time zake kwani mimi nilishakua na mtu hapo awali, istoshe nina yangu mengi ya kufanya. Issue inakuja yeye akakubali tuachane na wala haionyeshi kumkwaza wala kuumia kwamba nimeachana nae.
Siwezi sema ana mtu mwingine coz nimeshamchunguza sanaa na inaonyesha hana mwanaume mwingine, ni binti aliye in her mid 20's. Asa huku upande wangu nakua kama sitaki nataka.
Nikimuangalia mwenzangu naona anazidi kunawiri tu na mi huku nakonda kwa mawazo na kumiss penzi lake. Asa wakuu hebu mnishauri mwanamke wa namna hii namfanyaje ili na yeye aumie roho na kutamani kurudiana na mimi.
Kumuacha nimemuacha mwenyewe ila ni vile kama naona naumia mimi zaidi yeye walaa. Mwisho wa siku inakua kama mimi ndio najipendekeza kwake turudiane.
Mi nafkiri nimeeleweka, ( i'm confused ) sijawahi kuburuzwa na mwanamke kiasi hichi.
Pole sana mimi pia yalinikuta sana kwa mtu niliyempenda sana lakini nilijitahidi nikashindwa na kuachana nae so try ur luckHabarini wakuu,

Nitajaribu aisee...tatzo nahisi atavimba bichwa !!! Dah..