Ameshajua nampenda, basi ndio ananikomoa

Ameshajua nampenda, basi ndio ananikomoa

wanaume jmn sijui mnataka wanawake wawafanyie nini...she been there 2 good years,she loved you..what esle do u want her to do??mi nishakaa na jamaa mmoja long kipind kichz ilibidi nisepe mana mshkaji haonyeshi mwelekeo na mimi ,ndoa hasemi lini,mi nikaona ya nini nikae ananifunua tu,SHE IS FED UP...sio kwamba hakupendi...unless you gather urself and act,..peleka barua ya posa kwao
Unampenda and u know it go ahead and have her for life,isnt marriage about that..?

umecoment kwa hisia sana,ujumbe umesomwa
 
love is never equal dear,mara nyingi kwenye penzi mmoja lazma amzidi mwenzie tu,and maybe she is just good at hiding her pain..au ndo anatafta kwingine mana jamaa hatangazi ndoa japo anamsifia sana kuwa wife material

Honestly, You are the only woman in here who digs/understands me well. Unachosema kina ukweli/mantiki sanaaa !! Ntakutumia na card ya mchango wa harusi. LoL
 
Naisi kama maumivu aliopata X wako ndio na wewe unaanza kuyapata vilee kweli mungu analipa duniani.

Unajua nini...the truth will set me free. I'm gonna sort things out with my EX. We had something running for like a year and a half till i found this new love. I'm gana end things peacefully with her in a way hatoumia...and i will pursue my new love. I just wanna be in peace.
 
Sikiza mapenzi hayana mkubwa wala mdogo..hata kama nina ventures zangu za hela nyingi still when it comes to love issues we live and learn everyday...She z not tha first woman in my life. She iz just special and one of kind. I'm a changed man thanks to her. She z just a woman i don't wanna let go. She z much younger than me but still i gotta admit amenifundisha mambo mengi, hata mafanikio yangu yeye ana mkono wake pia. Ki ufupi she means a lot to me. We elewa hivyo. Hata wewe ukifikia stage hyo lazma utaona na ku feel a part of you z missing in you when she z gone.

In tht case rudiana nae....ata km itamaanisha unajishusha...may be she wil learn in the way and may be ts her turn now ku-fall.....aya mambo hua yanakua kwa zamu zamu banaa...
 
Honestly, You are the only woman in here who digs/understands me well. Unachosema kina ukweli/mantiki sanaaa !! Ntakutumia na card ya mchango wa harusi. LoL

hahhahah shukrani mkuu chezea mambo ya testimony na kwaito kwenye harusi wewee,,,.ntakuja atii..lol.
Me naongea kwa hisia coz najua how it feels to be loyal to a man af he aint acting
 
Punguza kuwa soft....kama unamtaka mfuate usiongee kitu..mpige kiss ya kushtukiza..halafu mwambie tu huwezi ruhusu akuache. It will never happen..anzia hapo

hili nalo neno,pia asijue upo JF ,hii siri ya hapa hapa MMu
 
Punguza kuwa soft....kama unamtaka mfuate usiongee kitu..mpige kiss ya kushtukiza..halafu mwambie tu huwezi ruhusu akuache. It will never happen..anzia hapo

Awe tayari kwa lolote mana anaweza kuambulia vibao
 
Hapo sana apo....ngoja ntakucheki kwanukaribu zadi umbuje apa ngoja tumshauri huyu senior Boss maana amebip kapigiwa na mchuchu
Poa umbuje.
Jamaa ametikisa kibiriti kumbe kilikuwa top!!
Haya mapenzi haya! Huyo bint alimpenda na bado anampenda jamaa ila uchumba ndugu ndio umemfanya awe cold,miaka miwili!!!!
 
Punguza kuwa soft....kama unamtaka mfuate usiongee kitu..mpige kiss ya kushtukiza..halafu mwambie tu huwezi ruhusu akuache. It will never happen..anzia hapo

Ndio mkurugenz !! I'll do just that.
JF is never boring. LoL
 
Hapo sana apo....ngoja ntakucheki kwanukaribu zadi umbuje apa ngoja tumshauri huyu senior Boss maana amebip kapigiwa na mchuchu

Hahahaha wacha majungu ww. LoL
Vitu hvi havina mwenyewe shauri lako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom