Ameshajua nampenda, basi ndio ananikomoa

Mm ushauri wangu.....'Move on man!'. Ulishaamua kubwaga manyanga na msichana hajaonyesha kuwa affected na hilo,its clear she didn't love you just as much as you love her,ukisema urudi kwake utakua kama unajichimbia kaburi lako mwenyewe,she will treat you whichever way she wishes coz anajua you need her more than she does you. Mapenzi yanatesa sana especially pale unapopenda usipopendwa,usiombe!

love is never equal dear,mara nyingi kwenye penzi mmoja lazma amzidi mwenzie tu,and maybe she is just good at hiding her pain..au ndo anatafta kwingine mana jamaa hatangazi ndoa japo anamsifia sana kuwa wife material
 
Naisi kama maumivu aliopata X wako ndio na wewe unaanza kuyapata vilee kweli mungu analipa duniani.
I'm a grown man nd i kno such things. Lakini hii kitu imenifanya niwe kama mjinga flan hvi najishangaa sanaa at tyms. I feel like she z tha only woman on earth and i gotta win her. USIOMBE UKAPENDA AISEE. Dah !!
 
HajakuLIMBWATA kweli huyu bint?,jiangalie vizuri,kuna kila dalili umeshakula hiyo kitu,ndio maana mwenzako hatingishiki anajua utarudi kupiga magoti mrudiane!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Habarini wakuu..

Sijui naanzaje kueleza maana nshachanganyikiwa anyway let me try.....

Ni hivi
Kuna mwanamke mmoja nina mahusiano nae takribani miaka mi 2 na nusu sasa. Sio siri/utani huyu mwanamke nimetokea kumpenda sanaa haijawahi tokea tena maishani mwangu yote kutokana na mambo aliokua akinifanyia. Imefikia kiwango cha kuachana na mchumba wangu niliekuwa na malengo nae hapo awali instead nika fall kwa huyu mwanadada mwingine. Katika kipindi chote cha kuwa na mahusiano nae tumekua na ukaribu sanaa kiasi cha kusema tunaishi kama mke na mume. Miezi 9 nyuma nili note kwamba uhusiano wetu unaenda ukififia.....mazoea yame pungua. We don't hang out or talk often, hanichangamkii tena kama zamani and stuff like that nikahisi labda ana mtu mwingine au nimemuonyesha sanaaa hisia zangu kwake kiasi cha yeye kutumia hyo kama silaha kuniumiza kichwa cz nahisi ameshajua nshazimika kwake mazima. Sasa kukata mzizi wa fitina nikaamua kuachana nae na kumwambia kila mtu ale na time zake kwani mimi nilishakua na mtu hapo awali....istoshe nina yangu mengi ya kufanya. Issue inakuja yeye akakubali tuachane na wala haionyeshi kumkwaza wala kuumia kwamba nimeachana nae. Siwezi sema ana mtu mwingine cz nimeshamchunguza sanaa na inaonyesha hana mwanaume mwingine, ni binti aliye in her mid 20's. Asa huku upande wangu nakua kama sitaki nataka. Nikimuangalia mwenzangu naona anazidi kunawiri tu na mi huku nakonda kwa mawazo na ku miss penzi lake. Asa wakuu hebu mnishauri mwanamke wa namna hii namfanyaje ili na yeye aumie roho na kutamani kurudiana na mimi. Kumuacha nimemuacha mwenyewe ila ni vile kama naona naumia mimi zaidi yeye walaa. Mwisho wa siku inakua kama mimi ndio najipendekeza kwake turudiane. Dah

Mi nafkiri nimeeleweka....( i'm confused ) sijawahi kuburuzwa na mwanamke kiasi hichi.

Huyo mdada ana take advantage kwa kujua kwake umeoza. You are simply hapless. Itakuwa ngumu lakini turn the cards down. Ficha maumivu yako within yourself na kumwonyesha kwamba you can easily live without her. Anza taratibu kupunguza mawasiliano. Kula siku bila kumpigia na akipiga yeye only respond baada ya saa kadhaa. She will eventually come to her senses. Kama hii itashindwa, honestly you are better off without her. Unaweza kuanza afresh kwingine. Kama atataka kurudi baadaye borrow a leaf from Osokoni!
 
I'm a grown man nd i kno such things. Lakini hii kitu imenifanya niwe kama mjinga flan hvi najishangaa sanaa at tyms. I feel like she z tha only woman on earth and i gotta win her. USIOMBE UKAPENDA AISEE. Dah !!

ohh please...dont leace in fantasy...open ur eyes na hata siku moja usilazimishe kuwa na mtu ambae unajua kabisa mapenzi yake ni ya mshumaa kwako...in the end utaumia zaidi ya hata unavyoumia zaidi...how does it feels to love someone who doesnt love u back.....it feels like hell##ON TO tHE NEXT ONE
 
wakati mnaendelea kuchangia mada hii mkumbuke Tanzania ni nchi ya pili kutoka mwisho kwa watu wake kuwa na low IQ.
 
Huyo mdada ana take advantage kwa kujua kwake umeoza. You are simply hapless. Itakuwa ngumu lakini turn the cards down. Ficha maumivu yako within yourself na kumwonyesha kwamba you can easily live without her. Anza taratibu kupunguza mawasiliano. Kula siku bila kumpigia na akipiga yeye only respond baada ya saa kadhaa. She will eventually come to her senses. Kama hii itashindwa, honestly you are better off without her. Unaweza kuanza afresh kwingine. Kama atataka kurudi baadaye borrow a leaf from Osokoni!

Ushauri wako una mantiki sana ntaufanyia kazi. Najua wadau humu ndani wataniona wa ajabu, mjinga, mtoto, mshamba, boya etc. ila all i can say ni kwamba mapenzi hayana mwenyewe/mjanja. Mimi nilikua nawashangaa sana watu wanaoteseka sababu ya mpenzi nlikua mbishi sanaa when it comes to love issues and i hardly love a woman 100% cz madhara yake nayajua fika...ila on this issue imetokea tu i could hardly resist hata sijui nimefika fika vp hapa nlipo. I'm human jamani i'm not perfect. Hata kwenye vitabu vya dini vinaeleza nguvu aliyokua nayo mwanamke kwa mwanamme. Hata Adam alishatendwa na Eva/Hawa kwenye bustani ya Eden na jamaa akaingia kingi, Samson na ujanja wake wote Delilah akamuingiza kingi vile vile na ilim cost sanaaa jamaa sasa sembuse mimi wakuu.

Wengi wanajifanya ma nunda humu ndani ila kuna siku yatawakuta huko na watakuja wakilia ovyo hapa. Love is a psychological and emotional thing...and once ur deeply in it, it takes lots of time to recover. Ni kama unavyoona teja akikosa dose anakua kama mwenda wazimu flan hvi...same applies to love.

Alaf Osokoni ndio kitu gani hebu fafanua plz.
 
Nachotaka na yeye aumie roho, awe na wivu na kuonyesha kunihitaji. Kila nikimuangalia naona nakonda mimi tu huku yeye mtoto anazidi kung'aa tu. Kibaba nimekua kama sungura mjanja " Sizitaki mbichi hizi " lakini deep inside kiroho kinauma. Dah. At tymz mpaka naogopa wajanja wasije wakani wahi.
Hakuna mtu atakuwa na wivu nawe kama huna mafanikio zaidi ya yale aliyokuacha nayo!
Hata hivyo inawezekana ulimpa nafasi ya kukujua in and out na akaona you will never be something she wants!

Usiwe too openly to them kila siku bakiza kitu ambacho she is yet to discover...mark me she will always be with you coz they always want to know wat we up to esp on future investments, your exciting dreams for you and her....hata hivyo dont jus jifanya a honestly dude and sometimes jus be ruff rider too!
 
wakati mnaendelea kuchangia mada hii mkumbuke Tanzania ni nchi ya pili kutoka mwisho kwa watu wake kuwa na low IQ.

Hii issue ya IQ take it with a pinch of salt. Hata kama wangesema Tanzania ni nchi yenye watu wenye IQ kubwa kuliko wote bado ingechukuliwa kwa tahadhali kubwa. Jielimishe zaidi kuhusu masuala ya IQ na jinsi inavyopimwa. Ni sawa na corruption index. Mwaka huu nchi itakuwa juu sana, mwakani inashuka. We are talking of perceptions!
 
ohh please...dont leace in fantasy...open ur eyes na hata siku moja usilazimishe kuwa na mtu ambae unajua kabisa mapenzi yake ni ya mshumaa kwako...in the end utaumia zaidi ya hata unavyoumia zaidi...how does it feels to love someone who doesnt love u back.....it feels like hell##ON TO tHE NEXT ONE

Hujaelewa mada kama angekua hanipendi nsinge last nae for 2 and a half years. Nimeshakwambia hapo awali tulikua karibu sana na kupendana kiasi cha kuishi kama mke na mume. Nlivyoona hali inabadilika nikaamua kupiga chini. ndio hvyo nimejikuta inakula kwangu from within..i feel like she is the one i wanna be/live with. Mkuu usikurupuke ku comment tu, soma uelewe kwanza.
 
Hii issue ya IQ take it with a pinch of salt. Hata kama wangesema Tanzania ni nchi yenye watu wenye IQ kubwa kuliko wote bado ingechukuliwa kwa tahadhali kubwa. Jielimishe zaidi kuhusu masuala ya IQ na jinsi inavyopimwa. Ni sawa na corruption index. Mwaka huu nchi itakuwa juu sana, mwakani inashuka. We are talking of perceptions!

Thank you
Achana ane he doesn't kno what he'z sayin. Watu wengine wanaropoka tu bila kujua ni nini wanaongea. Some people talk without having to think first. Love is a different case/issue.
 
Ushauri wako una mantiki sana ntaufanyia kazi. Najua wadau humu ndani wataniona wa ajabu, mjinga, mtoto, mshamba, boya etc. ila all i can say ni kwamba mapenzi hayana mwenyewe/mjanja. Mimi nilikua nawashangaa sana watu wanaoteseka sababu ya mpenzi nlikua mbishi sanaa when it comes to love issues and i hardly love a woman 100% cz madhara yake nayajua fika...ila on this issue imetokea tu i could hardly resist hata sijui nimefika fika vp hapa nlipo. I'm human jamani i'm not perfect. Hata kwenye vitabu vya dini vinaeleza nguvu aliyokua nayo mwanamke kwa mwanamme. Hata Adam alishatendwa na Eva/Hawa kwenye bustani ya Eden na jamaa akaingia kingi, Samson na ujanja wake wote Delilah akamuingiza kingi vile vile na ilim cost sanaaa jamaa sasa sembuse mimi wakuu.

Wengi wanajifanya ma nunda humu ndani ila kuna siku yatawakuta huko na watakuja wakilia ovyo hapa. Love is a psychological and emotional thing...and once ur deeply in it, it takes lots of time to recover. Ni kama unavyoona teja akikosa dose anakua kama mwenda wazimu flan hvi...same applies to love.

Alaf Osokoni ndio kitu gani hebu fafanua plz.

Kuna dada humu JF anaitwa Lara1. She is better placed to explain hii issue ya Osokoni. Kifupi sana huyo jamaa aliachwa na demu wake. Baadaye labda akaona kule alikoenda mambo ndivyo sivyo. Akaomba warudiane na the great Osokoni. Wakakutana sehemu na baada ya round 4 jamaa akamfurusha demu kama mbwa mwizi
 
Hakuna mtu atakuwa na wivu nawe kama huna mafanikio zaidi ya yale aliyokuacha nayo!
Hata hivyo inawezekana ulimpa nafasi ya kukujua in and out na akaona you will never be something she wants!

Usiwe too openly to them kila siku bakiza kitu ambacho she is yet to discover...mark me she will always be with you coz they always want to know wat we up to esp on future investments, your exciting dreams for you and her....hata hivyo dont jus jifanya a honestly dude and sometimes jus be ruff rider too!

Exactly. You have a point. Unajua at tyms u tryna treat a woman special ili akuone u got sincere feelings for her and that u wanna let her kno, u are there to stay and build a lasting investment. Sasa wanawake wengine wanatumia hio kitu/fursa vibaya. Wanashindwa kuelewa ww umefanya vile kwa nia njema na kwa manufaa yenu.
 
Hujaelewa mada kama angekua hanipendi nsinge last nae for 2 and a half years. Nimeshakwambia hapo awali tulikua karibu sana na kupendana kiasi cha kuishi kama mke na mume. Nlivyoona hali inabadilika nikaamua kupiga chini. ndio hvyo nimejikuta inakula kwangu from within..i feel like she is the one i wanna be/live with. Mkuu usikurupuke ku comment tu, soma uelewe kwanza.

wanaume jmn sijui mnataka wanawake wawafanyie nini...she been there 2 good years,she loved you..what esle do u want her to do??mi nishakaa na jamaa mmoja long kipind kichz ilibidi nisepe mana mshkaji haonyeshi mwelekeo na mimi ,ndoa hasemi lini,mi nikaona ya nini nikae ananifunua tu,SHE IS FED UP...sio kwamba hakupendi...unless you gather urself and act,..peleka barua ya posa kwao
Unampenda and u know it go ahead and have her for life,isnt marriage about that..?
 
HajakuLIMBWATA kweli huyu bint?,jiangalie vizuri,kuna kila dalili umeshakula hiyo kitu,ndio maana mwenzako hatingishiki anajua utarudi kupiga magoti mrudiane!

Sent from my iPhone using JamiiForums app

Dah asa unavyoongea hvyo ndio unani kata maini kabisa. yaweza ikawa kweli. Mi sio mtu wa kua hvi aisee. Marafiki wananicheka sanaa.
 
wanaume jmn sijui mnataka wanawake wawafanyie nini...she been there 2 good years,she loved you..what esle do u want her to do??mi nishakaa na jamaa mmoja long kipind kichz ilibidi nisepe mana mshkaji haonyeshi mwelekeo na mimi ,ndoa hasemi lini,mi nikaona ya nini nikae ananifunua tu,SHE IS FED UP...sio kwamba hakupendi...unless you gather urself and act,..peleka barua ya posa kwao
Unampenda and u know it go ahead and have her for life,isnt marriage about that..?

Alaf kweli... Nitafanya maamuzi. Wacha nionekane mjinga. I don't care no more.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom