Ameshajua nampenda, basi ndio ananikomoa

Ameshajua nampenda, basi ndio ananikomoa

Kama kuna mfanyakazi mwenzio wakike anayelipa au kama unadada wa mama mkubwa,mdogo,mtoto wa mjomba shangazi ambaye ni toto zuri.Tembea nao mtaan mara kwa mara na hakikisha mnagongana na kidosho wako wa zamani.
 
Ndo tatizo la wanaume....hamjui kujishusha sijui huwa mnapungukiwa nini mkisema sorry....na uumie sana mpaka upasuke
 
Be a grown man with some balls...

Kuacha uache wewe halafu kulia lia ulie wewe...
 
Mm ushauri wangu.....'Move on man!'. Ulishaamua kubwaga manyanga na msichana hajaonyesha kuwa affected na hilo,its clear she didn't love you just as much as you love her,ukisema urudi kwake utakua kama unajichimbia kaburi lako mwenyewe,she will treat you whichever way she wishes coz anajua you need her more than she does you. Mapenzi yanatesa sana especially pale unapopenda usipopendwa,usiombe!
 
Mi kama mimi, kiukweli naomba asikurudie ukonde tu hadi uwe kama spoku ya baiskeli
ulimuacha mchumba wako kisa huyo mwanamke, it's your turn now nawe uachwe tu....
 
Na hata akikurudia jiandae kuwa houseboy, ATM,kaka wa vocha n.k
Mahaba niburuze.....
ila pole kwa maumivu
 
Avatar yako na ushauri ata haviendan...senior boss alaf unaomba ushauri wa aina kukuaxha mdd unaempenda uk unamtaka loooh...embu kaka ako "the boss" aje akushauri...
 
Mm ushauri wangu.....'Move on man!'. Ulishaamua kubwaga manyanga na msichana hajaonyesha kuwa affected na hilo,its clear she didn't love you just as much as you love her,ukisema urudi kwake utakua kama unajichimbia kaburi lako mwenyewe,she will treat you whichever way she wishes coz anajua you need her more than she does you. Mapenzi yanatesa sana especially pale unapopenda usipopendwa,usiombe!
well said mamiiii.....
labda kama anajitolea kuwa mtumwa wa mapenzi
 
Vijana wanaangia kwa kukosa maarifa.

Na mapenzi utumwa wa hiari.

İ better go back to class. Labda topic ya "wife material" sikuielewa vizuri. Wife Material my foot!!!
 
Take action man,tangaza ndoa uone kama hatarudi spidiii...
Au we lengo lako umfunuee tuu af uje ummbwage?
Kumbe na nyie roho huwa inauma eeh,ndo mjue uchungu tunaopataga
 
Hapo kwanza unausoma upande wa pili wa yo first girl upime vinaumagaje.hata hvo sikushaur saana urud kwni tayar kuna kitu huyo mrembo alimis.hakuona kama kuna mwelekeo chanya baina yenu zaid ya kugegedana.na mengineyo meng.anyway pole ,mapenz yana maumivu makal yasiyoelezeka.waweza tamani ukatwe damu itoke ukashonwe upone kuliko lile umivu.tafakariiiii.
 
Usithubutu hata kufikiria kurudiana naye. Fanya jambo lolote umsahau maana ukirudiana naye utakonda zaidi ya hapo.
 
Ndio ile mada ya "UTANIOA LINI", huyo amechoka kulalwa miaka miwili bila malengo, umeishi nae mda wote huo na bado hujatamka lile neno wadada wanalipenda "WILL YOU MARRY ME"...hakika haoni tabu kukuacha na kuanza upya...

Kama upo tayari kuchukua risks, basi mweleze malengo yako kwake, put her in your future plans...Utasikia baby umekula, baby umechoka eeh...lakini pia maswali Kama "HIVI TUNAENDA LINI NYUMBANI" yatakuwa Kama sauti za ndege!!!..hawa viumbe wanafikia stage katika maisha, wedding/marriage is all that matters!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom