Ameshajua nampenda, basi ndio ananikomoa

Ameshajua nampenda, basi ndio ananikomoa

Kachukue mtoto,logically nobody moves so fast after a stable rlship,unless it's just into a rebound...
Itakuwa aliumia sana hata yeye ulivompiga chini,u broke her she broke you,now lead her back muwe wote.....
Mapenzi magumu jmn loh,hadi yani ujikaushe kchz ndo jamaa aone ur important..ndoa hizi zina mengi
 
Mkuu hii ni laana ya yule wa kwanza uliyemwacha, moyo wake unakusononekea wewe kila muda. Take care mkuu.
 
Hii comment imenifanya nicheke balaa

Nikipga story za huyu mwanamke na marafiki wananiona wa ajabu nachekwa sanaa ila kuna siku yatawakuta na wao we subiri tu, wengine wako humu humu...nimeona JF ndio kimbilio langu. Mungi si athumani kuna watu wana busara zao humu.
 
Poa umbuje.
Jamaa ametikisa kibiriti kumbe kilikuwa top!!
Haya mapenzi haya! Huyo bint alimpenda na bado anampenda jamaa ila uchumba ndugu ndio umemfanya awe cold,miaka miwili!!!!

Nimejifunza !! She has all the rights to act that way.
 
Kachukue mtoto,logically nobody moves so fast after a stable rlship,unless it's just into a rebound...
Itakuwa aliumia sana hata yeye ulivompiga chini,u broke her she broke you,now lead her back muwe wote.....
Mapenzi magumu jmn loh,hadi yani ujikaushe kchz ndo jamaa aone ur important..ndoa hizi zina mengi

Acha kabisaa !!!
 
Mkuu hii ni laana ya yule wa kwanza uliyemwacha, moyo wake unakusononekea wewe kila muda. Take care mkuu.

Yule mwingine nilishamwambia ukweli...good thing hatuku kolea sanaa. So imebaki conclusion tu. She understands.
 
Kamanda pole sana, hili swala hata mi ndio nalipitia sasa yani naumia kweli mkuu bora hata ww umefikia stage hiyo but mwenzako ndo kwanza bado asubuhi.
 
Nachotaka na yeye aumie roho, awe na wivu na kuonyesha kunihitaji. Kila nikimuangalia naona nakonda mimi tu huku yeye mtoto anazidi kung'aa tu. Kibaba nimekua kama sungura mjanja " Sizitaki mbichi hizi " lakini deep inside kiroho kinauma. Dah. At tymz mpaka naogopa wajanja wasije wakani wahi.

Mtafutie demu mkali kuliko yeye. Yani wale videp queen afu utuletee majibu.
 
Pole sana mkuu ila suala lako linafanan na mimi ingawa me ni miez miwili tu, mwanamke ananiambia anatakA kupunguza kasi ya mawasiliano kwani atazoea vibaya. Ninajiuliza maswali mengi kuwa amepata mwingine au?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
that's what we call karma, we uliyomfanyia huyo ulombwaga uliona mazuri eeh? Now u r testing the taste of ur own medicine
 
Poa umbuje.
Jamaa ametikisa kibiriti kumbe kilikuwa top!!
Haya mapenzi haya! Huyo bint alimpenda na bado anampenda jamaa ila uchumba ndugu ndio umemfanya awe cold,miaka miwili!!!!

Aende na posa tu sasa moja kwa moja
 
Kamanda pole sana, hili swala hata mi ndio nalipitia sasa yani naumia kweli mkuu bora hata ww umefikia stage hiyo but mwenzako ndo kwanza bado asubuhi.

hahhaha wanaume nyie,kumbe mnajifanyaga hardcore ila moyoni mnaisoma namba ehh...
 
Habarini wakuu,

Sijui naanzaje kueleza maana nshachanganyikiwa anyway let me try.

Ni hivi, kuna mwanamke mmoja nina mahusiano nae takribani miaka miwili na nusu sasa. Sio siri/utani huyu mwanamke nimetokea kumpenda sanaa haijawahi tokea tena maishani mwangu yote kutokana na mambo aliokua akinifanyia.

Imefikia kiwango cha kuachana na mchumba wangu niliekuwa na malengo nae hapo awali instead nika fall kwa huyu mwanadada mwingine. Katika kipindi chote cha kuwa na mahusiano nae tumekua na ukaribu sanaa kiasi cha kusema tunaishi kama mke na mume.

Miezi 9 nyuma nili note kwamba uhusiano wetu unaenda ukififia, mazoea yame pungua. We don't hang out or talk often, hanichangamkii tena kama zamani and stuff like that nikahisi labda ana mtu mwingine au nimemuonyesha sanaaa hisia zangu kwake kiasi cha yeye kutumia hiyo kama silaha kuniumiza kichwa coz nahisi ameshajua nshazimika kwake mazima.

Sasa kukata mzizi wa fitina nikaamua kuachana nae na kumwambia kila mtu ale na time zake kwani mimi nilishakua na mtu hapo awali, istoshe nina yangu mengi ya kufanya. Issue inakuja yeye akakubali tuachane na wala haionyeshi kumkwaza wala kuumia kwamba nimeachana nae.

Siwezi sema ana mtu mwingine coz nimeshamchunguza sanaa na inaonyesha hana mwanaume mwingine, ni binti aliye in her mid 20's. Asa huku upande wangu nakua kama sitaki nataka.

Nikimuangalia mwenzangu naona anazidi kunawiri tu na mi huku nakonda kwa mawazo na kumiss penzi lake. Asa wakuu hebu mnishauri mwanamke wa namna hii namfanyaje ili na yeye aumie roho na kutamani kurudiana na mimi.

Kumuacha nimemuacha mwenyewe ila ni vile kama naona naumia mimi zaidi yeye walaa. Mwisho wa siku inakua kama mimi ndio najipendekeza kwake turudiane.

Mi nafkiri nimeeleweka, ( i'm confused ) sijawahi kuburuzwa na mwanamke kiasi hichi.

Acha utoto u only have two option uendelee au ushike time zako simamia maamuzi yako
 
Kamanda pole sana, hili swala hata mi ndio nalipitia sasa yani naumia kweli mkuu bora hata ww umefikia stage hiyo but mwenzako ndo kwanza bado asubuhi.

U got a long way to go. It's a journey wit twists and turns, bumps and bruises. Ila isije kuwa mnafanyana watoto. My case z way different.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom