mwanza yote yangu
Senior Member
- Aug 28, 2014
- 141
- 30
Yapata mwezi sasa baada ya kubeba vitu vyangu na kuondoka Kwa dharau na kusahau wema wangu nilioutenda kwake kwani nilimtoa akiwa Hana hata darasa moja ila sasa nimhitimu wa chuo kikuu.
Baada ya malalamiko na kumtafuta kila kona bila ya mafanikio eti Leo hii amerudi, sijamsemesha chochote na namwangalia tu sijui nimfanyeje jamani?
Baada ya malalamiko na kumtafuta kila kona bila ya mafanikio eti Leo hii amerudi, sijamsemesha chochote na namwangalia tu sijui nimfanyeje jamani?