Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,899
Here's the list of the most stressful U.S. airports according to business travelers:
- Chicago O'Hare International Airport
- Los Angeles International Airport
- John F. Kennedy International Airport
- Hartsfield-Jackson Atlanta International Airport
- New York's LaGuardia Airport
- Dallas-Fort Worth International Airport
- Newark Liberty International Airport
- George Bush Houston Intercontinental Airport
- San Francisco International Airport
- Miami International Airport
- Washington Dulles International Airport
- Charlotte/Douglas International Airport
- Philadelphia International Airport
- Orlando International Airport
- Boston Logan International Airport
- Las Vegas McCarran International Airport
Kwa hiyo lengo la kuanzisha maada ni kufahamisha umma kuwa umetembea sana Marekani na Ulaya nzima na unajua kaadhi na heri za airport zote Ughaibuni, si ndiyo?
Kwa hiyo lengo la kuanzisha maada ni kufahamisha umma kuwa umetembea sana Marekani na Ulaya nzima na unajua kaadhi na heri za airport zote Ughaibuni, si ndiyo?
Mpeni ushirikiano Candid Scope wakuu.Kwa hiyo lengo la kuanzisha maada ni kufahamisha umma kuwa umetembea sana Marekani na Ulaya nzima na unajua kaadhi na heri za airport zote Ughaibuni, si ndiyo?
jadili mada, hapa nashirikisha uzoefu kwa yaliyonipata katika airport hizi kwa siku kadhaa nizosafiri huko. Hivyo ndugu jadili mada usimjadili mleta mada.
Airport nilizo highlight kwa rangi nyekundu yamenifika mara kadhaa, hasa nilipokuwa natumia
- Swiss Air inayofanya pamoja na United airline,
- Ndege ya waarabu ambayo wanafanya connection na Delta Airline aliitumia ndugu yangu hadi nikawa na wasiwasi wa kumsubiri amekwamba siku mbili JFK
- LKM ambao hufanya connection na South West airline kama connection yako inaenda kwenye viwanja hivyo, bora wasiliana na agent akupe connection ya viwanja visivyo na usumbufu.
Kinachoudhi zaidi wasafiri wengi katika airport hizo huwa ni wasafiri wa kimataifa na hivyo wanahitaji connection na domestic airline. Utakuta tangu ushuke kwenye ndege imesalia saa moja kuunganisha ndege nyingine wakati masharti ya kupanda ndege ni saa moja kabla ya muda ndege inaruka.
Nilijaribu kubadilisha viwanja lakini kati ya hivyo vyenye rangi nyekundu niliishiwa kupanda ndege inayofuatia au kusubiri siku nyingine kwa sababu ya
- ucheleweshaji wa idara ya uhamiaji
- Usafiri wa Kuunganisha kufikia terminal nyingine, unafika tu sehemu ya kuunganisha train ya kukupeleka sehemu nyingine unakuta mlango unafunga na inaondoka, usubiri nyingine wakati dakika za kuunganisha usafiri mwingine hazijai mkononi.
- Signs kuchanganya, wazungu ndo kabisa utakuta wanakata tamaa mapema kama hakuna wakuwapa maelekezo counter.
- Uhakiki wa ticket kwenye counter.
Viwanja ambavyo sijawahi kupata matatizo Marekani ni bomba sana hakuna usumbufu kama wa viwanja vingine.
Houston - Texas
Detroit - Michigan
Lakini usafiri mbaya kabisa ambao sitaki kurudia tena kupanda ni British Airline kama unaunganisha na marekani. Kwa kushinda siku nzima London kusubiria kuunganisha ndege kwa sababu ya transfer kutoka airport moja hadi nyingine inachosha na pengine humgarimu aibira.
Kwa hiyo lengo la kuanzisha maada ni kufahamisha umma kuwa umetembea sana Marekani na Ulaya nzima na unajua kaadhi na heri za airport zote Ughaibuni, si ndiyo?
Mtoa mada nae amefika Marekani...
Jaribu La Guardia ndio utajua keroKatika zote JFK inaongoza mpaka sipendi tena kupita hapo
Mkuu Kero ndo ninazozikimbia tena unanimbia niende kwenye kero zaidi!Jaribu La Guardia ndio utajua kero
Jaribu La Guardia ndio utajua kero
Ninachoshangaa zote tatu zipo katika viunga vya jiji la NY yaani JFK, Newark (NJ) na La Guardia lakini bado hapatoshi.
Tatizo la JFK ni foleni, wasafiri ni wengi wanaoingia na kutoka New York per day... Newark sijawahi kutana na matatizo yake. Isitoshe haina wasafiri wengi kulinganisha na JFK na Signs zake zinaeleweka kiurahisi.