America's most stressful airports

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,886
6,883
airport_ipad_1353349882.jpg

Long check-in lines and distances between gates were the top factors that make airports stressful, according to a new study.
A study released last week by KRC Research on behalf of Concur, a provider of travel and expense management solutions, ranked the 16 most stressful U.S. airports based on interviews with 1,500 business travelers. The survey also revealed that availability of electrical outlets and Wi-Fi are important factors among road warriors.

Here's the list of the most stressful U.S. airports according to business travelers:

  • Chicago O'Hare International Airport
  • Los Angeles International Airport
  • John F. Kennedy International Airport
  • Hartsfield-Jackson Atlanta International Airport
  • New York's LaGuardia Airport
  • Dallas-Fort Worth International Airport
  • Newark Liberty International Airport
  • George Bush Houston Intercontinental Airport
  • San Francisco International Airport
  • Miami International Airport
  • Washington Dulles International Airport
  • Charlotte/Douglas International Airport
  • Philadelphia International Airport
  • Orlando International Airport
  • Boston Logan International Airport
  • Las Vegas McCarran International Airport
Not surprisingly the most stressful locations — including Chicago O'Hare and Los Angeles International Airport — will be among the busiest this week during the peak Thanksgiving holiday travel period.

Stress-Inducing Factors

The majority of respondents (56 percent) found the vast distance between gates and terminals to be the biggest challenge at Chicago O’Hare, while nearly half (49 percent) agreed John F. Kennedy International Airport presents some of the longest lines.

Other factors that contribute to airport stress included:

  • Confusing airport signs (28 percent)
  • Poor service from airport staff (28 percent)
  • Not enough or crowded bathrooms (19 percent)
  • Poor Wi-Fi coverage (19 percent)
  • Insufficient amount of electrical outlets (18 percent)
On the positive side, business travelers named Dallas-Fort Worth as the most hassle-free airport thanks to clear signage (42 percent), good Wi-Fi coverage (41 percent) and a variety of quality food options (41 percent).
 
Here's the list of the most stressful U.S. airports according to business travelers:

  • Chicago O'Hare International Airport
  • Los Angeles International Airport
  • John F. Kennedy International Airport
  • Hartsfield-Jackson Atlanta International Airport
  • New York's LaGuardia Airport
  • Dallas-Fort Worth International Airport
  • Newark Liberty International Airport
  • George Bush Houston Intercontinental Airport
  • San Francisco International Airport
  • Miami International Airport
  • Washington Dulles International Airport
  • Charlotte/Douglas International Airport
  • Philadelphia International Airport
  • Orlando International Airport
  • Boston Logan International Airport
  • Las Vegas McCarran International Airport

Airport nilizo highlight kwa rangi nyekundu yamenifika mara kadhaa, hasa nilipokuwa natumia
  • Swiss Air inayofanya pamoja na United airline,
  • Ndege ya waarabu ambayo wanafanya connection na Delta Airline aliitumia ndugu yangu hadi nikawa na wasiwasi wa kumsubiri amekwamba siku mbili JFK
  • LKM ambao hufanya connection na South West airline kama connection yako inaenda kwenye viwanja hivyo, bora wasiliana na agent akupe connection ya viwanja visivyo na usumbufu.

Kinachoudhi zaidi wasafiri wengi katika airport hizo huwa ni wasafiri wa kimataifa na hivyo wanahitaji connection na domestic airline. Utakuta tangu ushuke kwenye ndege imesalia saa moja kuunganisha ndege nyingine wakati masharti ya kupanda ndege ni saa moja kabla ya muda ndege inaruka.

Nilijaribu kubadilisha viwanja lakini kati ya hivyo vyenye rangi nyekundu niliishiwa kupanda ndege inayofuatia au kusubiri siku nyingine kwa sababu ya
  • ucheleweshaji wa idara ya uhamiaji
  • Usafiri wa Kuunganisha kufikia terminal nyingine, unafika tu sehemu ya kuunganisha train ya kukupeleka sehemu nyingine unakuta mlango unafunga na inaondoka, usubiri nyingine wakati dakika za kuunganisha usafiri mwingine hazijai mkononi.
  • Signs kuchanganya, wazungu ndo kabisa utakuta wanakata tamaa mapema kama hakuna wakuwapa maelekezo counter.
  • Uhakiki wa ticket kwenye counter.

Viwanja ambavyo sijawahi kupata matatizo Marekani ni bomba sana hakuna usumbufu kama wa viwanja vingine.
Houston - Texas
Detroit - Michigan

Lakini usafiri mbaya kabisa ambao sitaki kurudia tena kupanda ni British Airline kama unaunganisha na marekani. Kwa kushinda siku nzima London kusubiria kuunganisha ndege kwa sababu ya transfer kutoka airport moja hadi nyingine inachosha na pengine humgarimu aibira.
 
Wakifanya tafiti kama hii kwa airports za TZ results zitakuwa kama ifuatavyo

.. Other factors that contribute to airport stress included:
• Confusing airport signs (100 percent)
• Poor service from airport staff (95 percent)
• Bathrooms cleanliness (0 percent)
• Poor Wi-Fi coverage (100 percent)
• Insufficient amount of electrical outlets (100 percent)
 
Kwa hiyo lengo la kuanzisha maada ni kufahamisha umma kuwa umetembea sana Marekani na Ulaya nzima na unajua kaadhi na heri za airport zote Ughaibuni, si ndiyo?
 
Kwa hiyo lengo la kuanzisha maada ni kufahamisha umma kuwa umetembea sana Marekani na Ulaya nzima na unajua kaadhi na heri za airport zote Ughaibuni, si ndiyo?

Jadili mada, hapa nashirikisha uzoefu kwa yaliyonipata katika airport hizi kwa siku kadhaa nizosafiri huko. Hivyo ndugu jadili mada usimjadili mleta mada.
 
Kwa hiyo lengo la kuanzisha maada ni kufahamisha umma kuwa umetembea sana Marekani na Ulaya nzima na unajua kaadhi na heri za airport zote Ughaibuni, si ndiyo?
Mpeni ushirikiano Candid Scope wakuu.
Kwani Mtanzania mmoja tu akipotelea airport si hasara kwetu?
 
Airport nilizo highlight kwa rangi nyekundu yamenifika mara kadhaa, hasa nilipokuwa natumia
  • Swiss Air inayofanya pamoja na United airline,
  • Ndege ya waarabu ambayo wanafanya connection na Delta Airline aliitumia ndugu yangu hadi nikawa na wasiwasi wa kumsubiri amekwamba siku mbili JFK
  • LKM ambao hufanya connection na South West airline kama connection yako inaenda kwenye viwanja hivyo, bora wasiliana na agent akupe connection ya viwanja visivyo na usumbufu.

Kinachoudhi zaidi wasafiri wengi katika airport hizo huwa ni wasafiri wa kimataifa na hivyo wanahitaji connection na domestic airline. Utakuta tangu ushuke kwenye ndege imesalia saa moja kuunganisha ndege nyingine wakati masharti ya kupanda ndege ni saa moja kabla ya muda ndege inaruka.

Nilijaribu kubadilisha viwanja lakini kati ya hivyo vyenye rangi nyekundu niliishiwa kupanda ndege inayofuatia au kusubiri siku nyingine kwa sababu ya
  • ucheleweshaji wa idara ya uhamiaji
  • Usafiri wa Kuunganisha kufikia terminal nyingine, unafika tu sehemu ya kuunganisha train ya kukupeleka sehemu nyingine unakuta mlango unafunga na inaondoka, usubiri nyingine wakati dakika za kuunganisha usafiri mwingine hazijai mkononi.
  • Signs kuchanganya, wazungu ndo kabisa utakuta wanakata tamaa mapema kama hakuna wakuwapa maelekezo counter.
  • Uhakiki wa ticket kwenye counter.

Viwanja ambavyo sijawahi kupata matatizo Marekani ni bomba sana hakuna usumbufu kama wa viwanja vingine.
Houston - Texas
Detroit - Michigan

Lakini usafiri mbaya kabisa ambao sitaki kurudia tena kupanda ni British Airline kama unaunganisha na marekani. Kwa kushinda siku nzima London kusubiria kuunganisha ndege kwa sababu ya transfer kutoka airport moja hadi nyingine inachosha na pengine humgarimu aibira.

hahahaha JF bwana wanaoishi airport utawajua haya bana inaonekana airport zote marekani umezimaliza.... Hongera mkuu hongera sana wa Tz kama wewe ni wachache sana
ila ndege kama LKM uliyoitaja hapo juu ndo naisikia leo nway Hongera nahic ulishakutana ma mr Presdent hata kwa bahati mbaya coz inaonekana wewe ni mutu ya safari
 
Kwa hiyo lengo la kuanzisha maada ni kufahamisha umma kuwa umetembea sana Marekani na Ulaya nzima na unajua kaadhi na heri za airport zote Ughaibuni, si ndiyo?

Waafrika tu wajamaa, vema kuhabarishana ipo siku utahitaji kupitia airport hizo yasije yakakukukuta ndio maana tunatahadharishana kwa kauzoefu tuliko kapata.

Mada hii imetoholewa kutoka vyombo vya kitaifa vya Marekani na walioorodhesha na kuchanganyua matatizo y airpot ni wamarekani, ningesema mimi bila nukuru yangekuwa mengine zaidi hapa.
 
Tatizo la JFK ni foleni, wasafiri ni wengi wanaoingia na kutoka New York per day... Newark sijawahi kutana na matatizo yake. Isitoshe haina wasafiri wengi kulinganisha na JFK na Signs zake zinaeleweka kiurahisi.
 
Lakini kadiri ya maoni ya wasafiri wengi wanaona napo pana usumbufu fulani, nadhani kuna mengi yanayochangia ni pamoja na athari zinazosababishwa na JFK kwa vile wana-share, kumbuka NJ na NY wana ubia katika mambo mengi kama port authority ni ya ubia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom