rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,445
Wandugu!
siku za nyuma kidogo tulikuwa tunapata ile channel inaitwa MSNBC,yaani ile channel ni kiboko kwa mambo yao na vipindi vyao,kwa mtazamo wangu inaweza ikawa inaongoza dunia kwa ubora,Leo tulipata taarifa za ushindi wa Obama kupitia channel hii,walithubutu kuwa wa kwanza kusema Obama anashinda!
naomba kujua kama naweza kupata hii channel free to air kwa kutumia C band??