Zipi sababu za kufungwa TV1 na mmiliki wake alikuwa nani?

Adlo

Member
Jul 15, 2022
93
91
Habari Wana jukwaa niende kwenye mada takes,

Wakati nikiwa nasearch channel za king'amuzi ghafla nikakumbuka Channel ya tv1, ilikuwa bomba picha quality (HD),vipindi vyenye mpangilio, Watangazaji mahiri Kama marehemu mukhisini Mambo na Daniel kidjo wa kipindi cha boys boys ( Sijui alisha potelea wapi).

TV ilikuwa inaonyesha ligi za ulaya free to air (FTA), Nakumbuka mwaka 2018 kwa ushirikiano na TBC walionyesha kombe la dunia na ndo ikawa mwanzo wa marehemu mwalimu kashasha kujulikana,Dash ilikuwa ya Moto Sijui sababu za kufungwa zilikuwa Ni zipi na mmiliki wake Alikuwa Ni Nani.

Vituo vya TV vilivyobaki ni ubora sifuri picha sio hd, mpangilio wa vipindi mbovu full shida sio itv, start, channel 10, TBC Ndo kasheshe.
 

Attachments

  • Screenshot_20221108-215656.png
    Screenshot_20221108-215656.png
    187.2 KB · Views: 5

MwanaWA Ebrania

JF-Expert Member
Oct 6, 2017
413
398
Office zao zilikuwapo Mikocheni nyuma ya itv
Wajuzi watakuja kutuelezea ilikuwaje ikapotelea kusikojilikana.
 

The next

New Member
Sep 19, 2022
1
0
Oya Tv1 ilikuwa next level na ilikuwa imeleta transformation kubwa kwenye broadcasting 🙌🏾🙌🏾
 
2 Reactions
Reply
Top Bottom