Yeye anakua na dhambi plus,mana anazaliwa nje ya ndoa ata daudi alisema katika zab 51:5 TAZAMA MIMI NALIUMBWA KATIKA HALI YA UOVU,MAMA YANGU ALINICHUKUA MIMBA HATIANI
Sa unategemea nini apo na wewe
Kila kinachokupa Utamu, na uchungu kitakupa++++++++++
Duh, Midhambii kuchanganya maStress Utaniua bure..!
**:mimba:**
Naona umeamua kueka na signature kabisa ya mimba hahaahahaha,unalooo
Mwanamke huna huruma wewee...Badala kufkiria jinsi ya kufanya unishauri we unacheka....!
Ila Duh Kazi ipo Hapa.kidogo tu kaibeba dah kweli watu wengine sio wa kuguswa lol!
**:mimba:**
Ushauri wangu kwako ni huu,
Mlee mama na mtoto ajaye tu huna namna nyingine...pole sana mzinzi hahaha