Dah hapa nilipo yaan full kuwaza...
Sijui itakuwaje??
**:mimba:**
Ndo ushakuwa Baba kijacho anza kupanga bajeti ya pampers na mahitaji mengine muhimu ya kijacho na mama mtarajiwa.
Ndo mshahara wa dhambi iyo
huu mwandiko wao huu teh sio mgeni kabisa machoni pangu, kumbe ni wewe na hili ndo jina la ubatizo au? Ok back kwa topic....utaona mimba ya bahati mbaya utawaza mengi hawezi kosa pampers usitoe mimba mtoto mtamu jamani au ndo kama wasemavo wengi "simpendi huyu binti" uliwezaje kumfwanya sasa?
Kama yule skeleton ha ha haNiliogopa kuonekana nna kiherehere, ila uandishi wake kama ........, daah, nanii bana.
Niliogopa kuonekana nna kiherehere, ila uandishi wake kama ........, daah, nanii bana.
Ujauzito na dhambi vinaingiliana vp...!?
Mbona watu wanasema mtoto ni baraka kutoka kwa Mungu.
Ila daah sijui itakuwaje...:mimba:
Kama yule skeleton ha ha ha
Mazingira ya huyo mtoto kupatikana ndo inaweza kuwa baraka au kuwa dhambi,kwa hii case yako ni dhambi lol
Kwaiyo na mtoto atakuwa na laana au?
Duh ila mawazo hayaishi sijui hatima yake itakuwajee?
Mkuu aliyepata mimba kifatacho ni kuilea na kujifungua,au ww unategemea nn kingine??
Haaaah
Haaaah
Haaaah
Ila wewe! Nani? Skeleton? BTW mzima wewe?
Naona skeleton hapa kavaa kama mkandarasi ha ha ha, mi mzimaHaaaah
Haaaah
Haaaah
Ila wewe! Nani? Skeleton? BTW mzima wewe?
Ndio anazaliwa na dhambi ya.asili automatically,ila kwa ushauri wangu bana wee vuna baba ulichopanda
Ni kweli lakin usemacho...
Maana naona anajiandaa wiki ijayo aanze Clinic.
Ila inanifanya nakuwa na mawazo kweli!
sijui itakuwajeee?
**:mimba:**
Naona skeleton hapa kavaa kama mkandarasi ha ha ha, mi mzima
Mwambie akurudishie mimba yako
Mbona kwa ninavyojua mimi hata kwa aliyezaliwa ndani ya ndoa anakuwa na dhambi ya asili...!
Au labda nitakuwa shallow in Deep kwenye maswala ya imani katoliki?
Ila Duh hapa itabidi nitafute kitu cha kuniondolea stress maana sijui itakuwaje.
Kashaibeba tayari Duh..!!!
**:mimba:**