Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,792
...
*****:mimba:******
Bishoo kaingia JF
*****:mimba:******
Unasema?
Amepatwa ujauzito sijui itakuwa Mungu wangu..
Jf noma!
Hadi hizo vitu mmezipiga mimba.
Kwa hiyo unaomba ushauri ama unatangaza?
Mpige beto tu umuue
Itakuaje kuhusu nini sasa, mimba itakua mtoto atazaliwa utaitwa baba na utakua na furaha sana kila umuonapo mwanao....
huu mwandiko wao huu teh sio mgeni kabisa machoni pangu, kumbe ni wewe na hili ndo jina la ubatizo au? Ok back kwa topic....utaona mimba ya bahati mbaya utawaza mengi hawezi kosa pampers usitoe mimba mtoto mtamu jamani au ndo kama wasemavo wengi "simpendi huyu binti" uliwezaje kumfwanya sasa?We acha tu Madame Evelyn Salt . . . Kwa maana yaliyotokea hayaelezeki..!
Mh ila ndo ivyo ameshapata ujauzito, Duh.
Kazi ipo.
Mkuu kimetaka chenyewe mi nilikimbia tutmie condom kikagoma ona sasa kilichomkuta...!
:confused2: sijui tukaitoee...?
huu mwandiko wao huu teh sio mgeni kabisa machoni pangu, kumbe ni wewe na hili ndo jina la ubatizo au? Ok back kwa topic....utaona mimba ya bahati mbaya utawaza mengi hawezi kosa pampers usitoe mimba mtoto mtamu jamani au ndo kama wasemavo wengi "simpendi huyu binti" uliwezaje kumfwanya sasa?
Alitaka ausikie utamu mkapa kisogoni sasa imekula kwenu, leeni tu mtoto wenu kutoa mimba ni dhambi kubwa sana ni mauaji.
We acha tu madame...! Miili hii nayo inatuendesha si mchezo.
Kamoja tu eti tayari Mimba!
tena wala hata siku-enjoy kiviile
Nenda kaongezee masikio, pua na mdomo safari hii utaenjoy zaidi. Unamaliza ufundi wako wote ulioupata tangu uingie jando.