Habari wana jamvi.
Nimekuwa katika uhusiano wa kimapenzi yapata mwaka wa pili sasa na binti aliyenizidi umri kwa miaka mi3. Umri wangu ni miaka 26, wakati tunaanza uhusiano hatukuwahi kuulizana umri mpaka mapenzi yalipotukolea kwa miezi kama mitatu ndipo nilipogundua binti kanizidi umri.
Zaidi zaidi tulikumbuka tu kupima afya zetu. Sasa imefikia wakati tangu mwaka huu uanze binti anadai nipeleke barua kwao ili tuanze mchakato wa kuhalalisha ndoa. Naombeni ushauri wenu je kuna madhara kuwa na mke aliyenizidi umri.
Natanguliza shukrani kwa wale watakonishauri vizuri, karibun.

siyo mingi ndiyo ila kwa uzoefu huyo atazeeka kabla jamaaa hajaota hata ndevu...chezea kuzaa wewe!!