Deogratius n
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 1,193
- 254
- Thread starter
- #41
Ishi na mtu unaempenda. As long as upo happy ukiwa nae basi vitu vingine ni vya ziada.
asante kwa ushauri.
Ishi na mtu unaempenda. As long as upo happy ukiwa nae basi vitu vingine ni vya ziada.
Utaingia chaka kiongozi.Jaribu kutafuta binti mdogo.
siyo mingi ndiyo ila kwa uzoefu huyo atazeeka kabla jamaaa hajaota hata ndevu...chezea kuzaa wewe!!
ana tako? (haha joke! mkuu)
mkuu weka jiko ndani,maisha yenyewe mafupi haya. kuzeeka ni bla blah tu
ndo kigezo kikuu cha vijana wa mjininimecheka hapo kwenye joke daaaa ni shida hiii
ndo kigezo kikuu cha vijana wa mjini
Wengi hawatakuambia hili lakini ukae ukijua kuwa kwa kuwa waafrika tunaoa na kuolewa kwaajili ya familia zetu basi huyo binti hatokubalika kwenu labda usiwaambie kweli na wasigundue! Na hakuna mtu anaye weza kuoa mtu ambaye hakubaliki kwao.
Kimsingi hawa wanao kwambia hakuna tatizo hawawezi kuoa watu walio wazidi umri! Ni wanaume wachache wanaweza fanikiwa kuoa wanawake wenye umri mkubwa kuliko wao!
Mimi nakushauri umuache aende zake hamtofika popote kabisa na huu ni ukweli mchungu.
Always ukija kuomba ushauri JF, utaishia kuwa njia-panda tu. Advice za humu always huwa zina-conflict!
My ushauri: Listen to your heart. Kama unampenda for real kabisa toka moyoni, basi chukua jiko hilo mfanye maisha.
Utaingia chaka kiongozi.Jaribu kutafuta binti mdogo.
Umri auoi na umri sio tabia. Unaoa umri wewe au nini???