ndupa
JF-Expert Member
- Jan 25, 2008
- 4,403
- 151
Haina shida, kikubwa ni respect ndani ya nyumba!!
Umri ni namba tu kama huamini kamuulize Mariah Carey kazalishwa na kijana wa umri gani! Unachotakiwa wewe ni kuwa na maono ya mbali kama mwanaume!!
Katika haya mambo usiamgalie nani kafanyaje...wasiliana na moyo wako na akili zako!!