Amenitambulisha kwao bila kunitaarifu!

Amenitambulisha kwao bila kunitaarifu!

Mkuu hapo tatizo ni wewe mwenyewe. Inaonekana wewe ndio ulitangulia kutangaza ndoa kwa huyo demu wako sasa yeye ametekeleza kile ulichomuahidi kwa kufanya utambulisho. Ndio madhara ya kutangaza nia kabla ya kumaliza upembuzi yakinifu.
Hapana mkuu sijawahi hata siku moja..ni yeye mwenyewe tuu! Tulikuwa tunadate tuu
 
Si wa kuoa lakini unam do! Hivi binti yako akifanyiwa hayo utapenda? Lakini Mungu bwana ana mengi, utakuja penda usipopendwa.
 
AAfu nlichogundua demu wenyewe ni wa mtaani kwenu, we unakula kizembe tu then hutaki kuoa. Ndoa ya mkeka inakuhusu
 
Yaani huyu demu sijui vipi kwanza mi sina mpango wa kuoa kwa sasa halafu hata.ningeamua hivyo sio yeye kwa sababu nimeshajua tabia zake hazikidhi hata robo...juzi nimepishana na ndugu yake,ananiuliza unamuoa lini dada yangu? mbaya zaidi akaniambia ndugu wote wanajua mie ndio mchumba mtarajiwa ....
Kwani haukumuahidi ndoa mkuu?
 
Si wa kuoa lakini unam do! Hivi binti yako akifanyiwa hayo utapenda? Lakini Mungu bwana ana mengi, utakuja penda usipopendwa.
Hivi ukimdo mtu lazima umuoe? ndoa gani hiyo sasa..
 
Yaani huyu demu sijui vipi kwanza mi sina mpango wa kuoa kwa sasa halafu hata.ningeamua hivyo sio yeye kwa sababu nimeshajua tabia zake hazikidhi hata robo...juzi nimepishana na ndugu yake,ananiuliza unamuoa lini dada yangu? mbaya zaidi akaniambia ndugu wote wanajua mie ndio mchumba mtarajiwa ....
na uoe kabisa acha utani mkuu

BTW uko poa?
 
Yaani huyu demu sijui vipi kwanza mi sina mpango wa kuoa kwa sasa halafu hata.ningeamua hivyo sio yeye kwa sababu nimeshajua tabia zake hazikidhi hata robo...juzi nimepishana na ndugu yake,ananiuliza unamuoa lini dada yangu? mbaya zaidi akaniambia ndugu wote wanajua mie ndio mchumba mtarajiwa ....
Mpige faini
 
Back
Top Bottom