No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,662
- 7,833
Yaani huyu demu sijui vipi kwanza mi sina mpango wa kuoa kwa sasa halafu hata.ningeamua hivyo sio yeye kwa sababu nimeshajua tabia zake hazikidhi hata robo...juzi nimepishana na ndugu yake,ananiuliza unamuoa lini dada yangu? mbaya zaidi akaniambia ndugu wote wanajua mie ndio mchumba mtarajiwa ....