Amenisaliti, leo 'narevenge'

Sasa asipowaamini wadada aamini nini?
 
kisasi kizuri hapo ni kumuonesha msg zake then unapiga kimya kikuu, hayo mengine ni kujiongezea majuto tu..
 
Kudadadeki!! Kwahiyo unataka ukafanye kale kamchezo kabaya huku ukiwa na mihasira sio?! Anyway, nakutakia revenge njema lakini ikiwa bado una mihasira na kale kamchezo kabaya lazima ukafanye basi don't forget special protective gears below
 
ukisharevange ndio iweje? umuache au muendelee kushare na jamaa?
badala ya kurevange nakushauri mkanye au muache
 
ANXIOUSLY WAITING FOR MREJESHOOO...

AU KAMA VIP MKUU NIPE LOCATION NIIBUKE KUPIGA CHAPO...UJUWE KUSIMULIWA HAINOGI KAMA KUONA LAIVUU...

AHAHAHAHAHA..DADA MUHESHIMIWA KUMBE HOVYOOOO...LEO ANALIWA KIBOGAAAAAA...AHAHAHAHAHA
 
Hapo unajisumbua tu na hicho unachokifanya ni sawa na kumkabidhi nyani shamba la mahindi au kumrushia ndiz ngedere. Huyo she wako ndio mchezo wake inaonesha ni mzoefu ktk hii inshue ya 071 hata kabla haujampata. Huyo hafai kuwa mke tena. Wadada weng wanatumbukia ktk hii mambo wanafikir wanaweza kuolewa kwa haraka au kutosalitiwa, mnajidanganya huwez kuoa mke wa aina hiyo ndoa itakuwa ya kishetani. Msilalamike kuwa hakuna waoaji, waoaji wapo tena wengi ila kuna kund la wanaume linalowapotosha na kupotosheka hili kund si la waoaji ila waoaji wapo sasa wakija hawa waoaji wakikuta haya mambo wanasepa kbs. Kwa vile sifa hamna za kuolewa mtabakia kuwa mchepuko tu. Mtatafuta sana wanaume kweny mitandao ya kijamii km jf, fb n.k mpaka mtahonga ili muolewe lkn no. Mke mwema au mume mwema aliyetoka kwa MUNGU hafanyi haya mambo
 
mrejesho
mrejeshoo
mrejeshooo

ifikapo saa sita usiku nitarudi ili nijue venye kuliendaga!
 
[emoji144] [emoji144] [emoji144] nasubiri mrejesho [emoji13] [emoji13] kisamvu cha kopo
 
Baada ya kisasi what next?
Mmhh huwachi enjoy movie Valentina. Hajui maana ya hasira hasara huyu, kishasema demu hapendi nd*mu halafu anataka akalipe kisasi kwa tundu ya huzuni. Mrejesho wake huyu unamuhitaji doctor hakuna namna kisamvu lazima kigande kwenye tundu ya dushe lake[emoji15] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…