Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,539
mbona umekuwa mkali ghafla??unaomba ushauri au unalazimisha ushauri??Zimefanyaje sasa post zangu???kama huna ushauri uwe unanyamaza tu
mbona umekuwa mkali ghafla??unaomba ushauri au unalazimisha ushauri??Zimefanyaje sasa post zangu???kama huna ushauri uwe unanyamaza tu
Mie ninavyoona life ya sasa hivi,,
Ukipata mwanaume/mwanamke anaekupenda kwa dhati,akakuheshimu,akakutunza hata kama ana migegedo mingine we kaa tuliza mshono uache maisha yaendelee coz ukosema utafute wa peke yako utaachwa/utaachika daily!
Ama uongo
sikujua mwanaume naye anaitwa mchuchuNi kama mara mbiliinatokea tukiwa tunataka tudu na boyfriend wangu inatokea mwili wangu nakuwa wa moto sana had jana mchuchu kashangaa ni sababu ya hizi hali yali ya hewa ya baridi ama ntakuwa na tatizo?
nice story..Habari zenu wapendwa
Am a girl 24 nmetokea kuwa na mahusiano na kijana mmoja ambaye tumefahamiana naw n kama 4 month,yeye ni accountancy wa benk so most of de tym ni yupo bize!
Mwanzo wa mahusiano yetu alikuwa anajitahd sana even kuntext ile morng sana na jion pia twaongea bt hv sasa amekuwa too much bize even kuongea ni kwa sku mara moja najiuliza kama kweli ananipenda lkn sipati jibu nikiwa nae anaonyesha kunipenda na tunaenjoy sana tukiwa pamoja anafuraha sana lakini tukiachana hapo mhm of coz sy
mtu wa kupnda chatng ukimtext anajibu short sana hiyo hali nimeizoea kias lkn sasa nafkiria niachane nae coz namuhitaji sana na ana mda mdogo wa kuwa na mm let say per week ni kama siku moja twaonana!
Sioni raha yyte ya kuwa nae japo i ril love him,kuna siku nikamuomba tutoke for dinner bas tukiwa huko nikajaribu kumweleza vile nakuwa lonly lakini alwayz majibu yake n ubize,mara anachoka ec,
Naombeni ushauri wenu
Zimefanyaje sasa post zangu???kama huna ushauri uwe unanyamaza tu
Wewe kubali tu uliwe ala...!
.. Au labda tumuulize ana umri gani maana nimeshindwa kuunganisha dots kabisaaaa!!! Eti "hata akinisalimia sitakagi hata anshike mkono namchukia akinieleza maswala ya mapenzi" Hataki hata kushikwa mkono lakini hela na misaada yake anaitaka!! 😡hivi kweli hujui cha kufanya we mdada mkubwa hivo?
umukagame...post zako mhm!!
[h=3][/h][h=3]Maisha ya sasa hivi[/h][h=3]Inanitokea tukiwa tunataka kudu![/h]
[h=3]Nimuache au nifanyeje wadau[/h]
na ww post zako hzo unatutia was was utakuwa kakurumbembe flan
Unasema humpendi na wala hutaki kuwa karibu nae, sasa ilikuaje mpaka mkajenga mazoea ya yeye kuanza kutoa misaada kwako? ina maana ulimka tu asubuhi siku moja misaada yake ikaanza kuja kwako? Namba yako ya siku aliipataje, na hataka kama alipewa na mtu ulishindwa nini kuacha kupokea simu zake na kumu ignore? na huyo mdogo wako alianzaje kumsaidia kupata kazi aliota? ndugu yangu sisi wanawake wanaume hutuchukulia vile ambayo tunajionyesha kwao, ukicheza sitaki nataka lazima akubananishe mana anajua iko siku tu utaingia line na ukiwa criaz mwisho wa siku atakuheshimu tu, naongea kwa experience nakumbuka nilipoanza kazi nilisumbuliwa sana na wababa wa hapa ofisini mpaka nkawa najiuliza hawa wametumwa au tena wana wake zao ila walizani wanaweza kunipata kwa pesa zao lakini vile ambavyo niliwa ignore ndio ilikuwa salama yangu mwisho wa siku waliniheshim na kuacha kunisumbua baada ya muda mfupi wakasikia naolewa.
ukiona manyoa....mbona umekuwa mkali ghafla??unaomba ushauri au unalazimisha ushauri??