Amenisaidia mengi lakini,simpend hata kidogo

Amenisaidia mengi lakini,simpend hata kidogo

Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Sasa kama humtaki si umwambie au waogopa atasitisha huduma
 
Habari zenu wapenzi,

Nina kitu kinanchanganya kidogo

Kuna baba mmoja nimemfahamu kama 6 years ago ni mkubwa kwangu me ni kama mwananye wa kwanza hivi,,huyu baba ni mtu ana pesa nyingi na amekuwa akinisaidia na amenisaidia hata kumpatia mdogo wangu kazi katika secta nyeti sana (kifupi anajiyoa sana kunisaidia lakini nyuma ya hapo ananitaka kimapenzi(mimi nina mpenzi wangu ambaye nampenda)

Huyu baba kaachana na mkewe kama mwaka umepita na ananiambia anahitaji anioe kaniahidi mambo mengi sana iwapo nitakubali anioe,,
Kiukweli kutoka moyoni sijawahi kumfeel hata kidogo yani simpendi kabisa hata akinisalimia sitakagi hata anshike mkono namchukia akinieleza maswala ya mapenzi,
Sometimes nawaza mambo ambayo amenisaidia najisikia hukumu,,lakini nifanyaje ili huyu baba aniache aache kunisumbua na asinichukie sababu sitaki hata aje ofisini kwangu lakini namuheshimu siwezi kumwambia,,anajua nina mtu lakini bado amefikia kunambia kama simtaki nitafute msichana mwingine aliyefanana na mimi nimpelekee amuoe amekuwa

Napata wakati mgumu sana najisikia vibaya

Nishaurini nifanyaje
Unajisikia vibaya wakati umeshaharibu ndoa ya watu kwa ajili ya tamaa
 
Mpe anachotaka ikiwa mlikubaliana kuwa utalipa fadhila kwa style hiyo. Else, tunza heshimayako.
 
Kama kweli humpendi WHY usimtafutie shoga yako.............Hutaki maana utaona WIVU utakosa mgao wa vitu toka kwake
Wewe unatuzuga tu ila nashukuru ujumbe wadau wamekupa
 
mh,mwambie mpenzi wako ampasue mangumi asikuzoee parata huyo. la kumshauri...

ameyachagua haya maisha[/QUOTE]
 
Tyta nawe umeona binti wa miaka 24 anakuja kwa escape velocity eeeh!!
 
Last edited by a moderator:

kwani ulimshikia bunduki wakati
anatoa hyo misaada?!!si alitoa mwenyewe?
mwambie humtaki wala humpendi aboo!!
 
Maswali ya kujiuliza
1. Wewe ulianza vipi urafiki na baba yako??
2. Je ilikuaje akaanza kukupa misaada ?? Ni kwa ushawishi wako au alijiamulia
(A) je alijuaje ndugu yako hana kazi????
(B) how come upokee misaada ya mtu usiyetamani hata kumshika mkono???
3. Ilikuchukua muda gani kugundua unamchukia ?? Je baada ya kukutaka kimapenzi au niaje??
4. Ulivyokua unapokea misaada bure kwa umri wako ulikua hujui kitakachotokea????
5. Je unajua kisa cha kuachana na mkewe??
6. Hivi kama humtaki kwa nini usimpe rafiki yako ??? Au unaogopa misaada itahamia side B???
7. For how long umemjua mshua???
8. UKIJIBU MASWALI YANGU NDIO NITAKUSHAURI

Looooooong wekend
 
jaribu kufanya naye mapenzi utajikuta unampenda ghafla.....especially kama anayajua utashangaa next time unatutangazia tarehe ya kitchen party, sendoff na kadhalika
 
Back
Top Bottom