Amenisaidia mengi lakini,simpend hata kidogo

Amenisaidia mengi lakini,simpend hata kidogo

Huyo ndio mwanaume sasa wenzio wanawatafuta wa hivyo
 
Hapo ndo nnaposhangaa wanawake wengine sijui mkoje,

Mtu humpendi, hutaki mahusiano naye, hutaki hata akushike mkono, ndiye aliyeweza kukusaidia vitu "vingi" na akamtaftia mdogo wako kazi katika sekta "nyeti",,, mf! Dada hujielewi kabisaa, vya watu unavila bure halafu unakuja kutemea mate mkono unakulisha huku?? So pathetic! ndo nyie mkija kubetuliwa na mguu wa kuku hapa mnaona mmeonewa. Shenz kabisa. kama mtu humpendi tokea day one ulitakiwa umwambie achukue njia yake na wewe ubaki na yako, ukamtumia mbaba wa watu weee kwa haja zako halafu umeona yako yanaenda vizuri unataka kumtupa kule ubaki na mpenzi wako. Ndo maana hata hujamueleza mpenzi wako kama siku za nyuma huyo baba amkusaidia sana. ingekua mimi huyo mzee nakutengua hata na kimoja mguuni nikutie adabu.
 
Hayo unayoyasema hapa mwambie yeye (kwamba unampenda kama rafiki na sio vinginevyo)..., Penzi halinunuliwi kwa fadhila au mali.., ukiwa nae kwa sababu ya fadhila zake na mali zake humtendei haki yeye wala wewe
 
Kiukweli kutoka moyoni sijawahi kumfeel hata kidogo yani simpendi kabisa hata akinisalimia sitakagi hata anshike mkono namchukia akinieleza maswala ya mapenzi,
hvi nyie wanawake mpewe nini mridhike?

nakukumbuka sana binam, ulikuja juzi ukasema unatamani sana kupata mwanaume, kumbe una lako jambo!

umetema BIG G kwa karanga za kuonjeshwa eenh?
 
Sijaelewa kitu kimoja,huyo baba alikuwa anakusaidia kama nani,na what happen had ukahitaji msaada wake,ulipokuwa unapokea misaada hukujua nia yake? No free lunch ma dia,otherwise ni baba ,kaka au ndugu yako...
 
habari zenu wapenzi,

nina kitu kinanchanganya kidogo

kuna baba mmoja nimemfahamu kama 6 years ago ni mkubwa kwangu me ni kama mwananye wa kwanza hivi,,huyu baba ni mtu ana pesa nyingi na amekuwa akinisaidia na amenisaidia hata kumpatia mdogo wangu kazi katika secta nyeti sana (kifupi anajiyoa sana kunisaidia lakini nyuma ya hapo ananitaka kimapenzi(mimi nina mpenzi wangu ambaye nampenda)

huyu baba kaachana na mkewe kama mwaka umepita na ananiambia anahitaji anioe kaniahidi mambo mengi sana iwapo nitakubali anioe,,
kiukweli kutoka moyoni sijawahi kumfeel hata kidogo yani simpendi kabisa hata akinisalimia sitakagi hata anshike mkono namchukia akinieleza maswala ya mapenzi,
sometimes nawaza mambo ambayo amenisaidia najisikia hukumu,,lakini nifanyaje ili huyu baba aniache aache kunisumbua na asinichukie sababu sitaki hata aje ofisini kwangu lakini namuheshimu siwezi kumwambia,,anajua nina mtu lakini bado amefikia kunambia kama simtaki nitafute msichana mwingine aliyefanana na mimi nimpelekee amuoe amekuwa

napata wakati mgumu sana najisikia vibaya

nishaurini nifanyaje

nonsense!
 
Zingatia Ushaur Wa DonMang ----- ww
Au kamwone Joyce kiria Na bibi chau ----n bitch...usione wakna Wema wapo juu washaptia huko kote Na kuliwa kboga.
 
Back
Top Bottom