Ameninunia baada ya dada yake kukubali ombi langu

Ameninunia baada ya dada yake kukubali ombi langu

Kwanza huyo rafiki yako naye kilaza kama wewe. Mimi siwezi Ku wa ba rafiki mjinga kama wewe yani siku ya kwanza tu nakusoma na kugundua upuuzi wako.
 
Duh! Unamshirikisha mungu kwenye ufuska wako aisee, bora ingekuwa kuoa unataka kuzini unamshirikisha mungu?

Hakuna aliyekamilika wote tunafanya madhambi ila mkuu siwezi salu kwa ajili ya kupata pussy ya kuila aisee labda mpaka niamue kuoa .

Kuna kitu hakipo sawa .
 
Back
Top Bottom