Amenikimbia kisa nakoroma nikilala

Amenikimbia kisa nakoroma nikilala

na huko kukoroma ndo kulisababisha wenzio wakatia mimba afu ukabambikiwa, binti kaja muishi badala ujitume unabaki kujisifia kukoroma koho koho koh hooooooo wacha aende hakufuata makelele ya usiku
 
Haaa haaaa acha kukoroma bana piga shughuli....
 
Hheheheh pole
Sipati picha unakoroma kama chura..hadi mwenzio anakosa usingizi
 
Dah! Inaniuzunisha ila ndio hivo amenikimbia na kuniacha solemba huyu mpenzi wangu kisa tu nakoroma sana.Ilikuwa kama utani mara nyingi ananiambia we sikununu unakoroma sana kama chura mda mwingine mpaka ananiamsha nikiwa usingizini nakoroma kwa raha zangu

Kusema na ukweli nilikuwa na mpango nae huyu binti baada ya kukwaruzana na kuachana na mzazi mwenzangu ambaye tumezaa hila sina mapenzi naye baada ya kunibambikia mimba hivi hivi nikiwa naona mchana kweupe ndipo binti huyu kigori aliponikubali bila hata kutumia nguvu tuishi pamoja.

Nawaomba sana wanawake msitufanyie hivi sisi tunaokoroma jamani.

Mkuu ulipitiliza kukoroma kama power tiller!
 
hebu tupia clip tuskie unakoromaje ndo utapata ushauri mzuri maana wengine wanakoroma kwa makusudi
 
Weka silencer mdomoni.
Au toboa exozi kabisa uwafukuze na majirani, ubaki peke yako mtaani.

haha mbavu zangu mimi du atawekaje sasa silent na akitomboa exosi itakuweje si watu hawata lala kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom