Amenichunia kisa nilimtania nataka penzi.

Amenichunia kisa nilimtania nataka penzi.

Atakuwa pungaaaa.. functionless kama sio bwabwa
 
Nadhani kuna behind da scene hujaisema, hiyo sababu nyepesi cna kuvunja relation, hongera kwa ujasiri wa kudai gem laivu umekuwa kiziwanda changu lol!

yan uwez amin,hakuna ktu chochote zaid ya ilo mana mbna tulikua vzur tu b4 kuongea ishu izo.
 
Haki ya nani, kuna wakati unasoma hiz hadithi za wajukuu, unahisi kama umerudi darasa la vidudu...!

Kama kajamaa kamegomea mechi na kamepewa vaction ya miezi 5 bado hakataki...kwa nini kokuobanza-G naye asianze mbele akatafuta ndege anayefanana naye??

Yawezekana dogo ni mtoto wa mchungaji na hataki kwenda motoni...lol!!

Babu DC!!

moto mbaya babu,

Acha kaka wa watu "ajitunze"
 
Last edited by a moderator:
kama hana matatizo atakuwa kati ya wachache ambao wanaamini kwenye no ngono before marriage,kitendo chako cha kuomba kwenda kutoa mbwa pengine kinamfanya akuone wewe kama kicheche.

ooooh,kwa iyo nmpotezee sio
 
Du mm narikiri jongoo hapandi mtungi haiwezekani kubwa n.a. Lopo mda wote mjoo kwangu
 
Huyo jamaa sio mzima huko sehemu, amehofia utagundua siri yake
 
Siku hizi mtu akiamua kujitunza anainekana ZOBA!
Wajanja ni wanaogegeda kila kukicha... SMFH!
 
Christine, najiunga na #Team no uzinzi/uasherati till ndoa.... teh!

haya mkuu ww endelea kusubir hadi ndoa ujikute unauziwa mbuz kwenye gunia au utakutana na two sex! Sk hz majanga lazma "shake before use"
 
Siku hizi mtu akiamua kujitunza anainekana ZOBA!
Wajanja ni wanaogegeda kila kukicha... SMFH!

hata kwa mchezaji ili aweze kupendwa na timu nyngi lazma ahudhulie mazoez mara nyingi na acheze mechi vzr uwanjani
 
kama hana matatizo atakuwa kati ya wachache ambao wanaamini kwenye no ngono before marriage,kitendo chako cha kuomba kwenda kutoa mbwa pengine kinamfanya akuone wewe kama kicheche.

Ndio hivyo alishindwa kusoma saikolojia yake tu.
 
kama hana matatizo atakuwa kati ya wachache ambao wanaamini kwenye no ngono before marriage,kitendo chako cha kuomba kwenda kutoa mbwa pengine kinamfanya akuone wewe kama kicheche.

Ndio hivyo ila alichoshindwa ni kusoma saikolojia yake tu.
 
Back
Top Bottom