Amenichunia kisa nilimtania nataka penzi.

Kokubanza-G

Senior Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
111
Reaction score
23
Naomba mnisaidie.Nina boyfrend ambae tumekua wote kama miez 3 ivi.Hatujawai kuduu wala hajawai ongelea ilo suala.cku moja tukiwa outng nkamtania kua naomba penzi lake ili nimsome kama ndo walewale anazuga tuu ama vp,alchonijb ni kua tusubr mda ukfka tutaduu na akaongeza kua bado hatujapma afya.Nkamwambia sawa,yakaisha .Akanisndkza ad hom kwa furaha tu.Cha ajab frm that day akawa hapokei cm yang wala kujb sms na ni mda wa miez 5 sasa.Nlimuulza rafk ake wa karb kua tatzo ni nin,akanambia yye aliongea nae lkn jamaa alimjib kua atuache yeye na mimi tutayamaliza.we unamuelewaje?????
 
^^
Miezi mitano amechuna?..angalia isiwe ngozi ashauziwa mwingine!
^^
 
Joka la kibisa hlo haling'ati.....anaogopa kuwa utamstukia mapema
 
Mgirik,ilo nalo neno.mana ata rafk ake nmemdadis sana lakn aelew kwa nin jamaa kachuna
 
Naomba mnisaidie.Nina boyfrend ambae tumekua wote kama miez 3 ivi.Hatujawai kuduu wala hajawai ongelea ilo suala.cku moja tukiwa outng nkamtania kua naomba penzi lake ili nimsome kama ndo walewale anazuga tuu ama vp,alchonijb ni kua tusubr mda ukfka tutaduu na akaongeza kua bado hatujapma afya.Nkamwambia sawa,yakaisha .Akanisndkza ad hom kwa furaha tu.Cha ajab frm that day akawa hapokei cm yang wala kujb sms na ni mda wa miez 5 sasa.Nlimuulza rafk ake wa karb kua tatzo ni nin,akanambia yye aliongea nae lkn jamaa alimjib kua atuache yeye na mimi tutayamaliza.we unamuelewaje?????

Mshamba tu huyo, kuna kitu anaficha. Ila take easy, endelea kuangalia atauchuna mpaka lini.
Kaonesha udhaifu wa hali ya juu, nilitegemea kesho yake akushike mkono mkapime, yeye kaona kuuchuna ndio suluhu. Fanya mambo yako hakuna mwanaume hapo.
 
Kwanza kwa kuweka kumbukumbu sawa rekebisha kauli dada yangu, usiseme ulimtania sema ulidai haki yako, Hukuwa na kosa hapo, ilikuwa ni kujipangia muda wa kwenda kupima na akusaidie 'matatizo' yako. Hakika ninaloliona hapo ni kuwa huyo jamaa hakuwa na penzi la kweli alikuwa anakutafutia timing au 'binduki' yake ina mushkeri. Angalia mbele, siamini kama kachuna ni kuwa ameshakukimbia, miezi 5? Hajachuna huyo ameshakata kona.
 
KOKU toka bukoba anataka penzi.
 
Miezi 5 kakuchunia au kakutosa?

Mchuno gani wa mieI 5?

Na wewe umetulia unamsubiri ageuke?
 
Hii kweli ni hatar sjwai skia wala kuona Kwa mtu.MAY B ANA TATZO mana best ake ananambia hajawai kumsikia wala kuona gal mwngne after me.Mh . . . .
 
Miezi 5 kakuchunia au kakutosa?

Mchuno gani wa mieI 5?

Na wewe umetulia unamsubiri ageuke?

Haki ya nani, kuna wakati unasoma hiz hadithi za wajukuu, unahisi kama umerudi darasa la vidudu...!

Kama kajamaa kamegomea mechi na kamepewa vaction ya miezi 5 bado hakataki...kwa nini kokuobanza-G naye asianze mbele akatafuta ndege anayefanana naye??

Yawezekana dogo ni mtoto wa mchungaji na hataki kwenda motoni...lol!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Mshamba tu huyo, kuna kitu anaficha. Ila take easy, endelea kuangalia atauchuna mpaka lini.
Kaonesha udhaifu wa hali ya juu, nilitegemea kesho yake akushike mkono mkapime, yeye kaona kuuchuna ndio suluhu. Fanya mambo yako hakuna mwanaume hapo.
kwahiyo umalaya ndo uanaume?
 
ktu nlichokua nataka ni kujua tatzo ni nin anambie thats why nliamua kua kimya.Kata mti na panda mti sio vyema ujue
kama hana matatizo atakuwa kati ya wachache ambao wanaamini kwenye no ngono before marriage,kitendo chako cha kuomba kwenda kutoa mbwa pengine kinamfanya akuone wewe kama kicheche.
 
Kama unapafaham kwao ungejaribu kumtafuta uongee nae kwa karibu 2ciishie kuzungumzia humu 2 yy mwnyw nadhani anajibu sahh kuhusu kkchunia hko , kama haeleweki bora upotezee 2!
 
Naomba mnisaidie.Nina boyfrend ambae tumekua wote kama miez 3 ivi.Hatujawai kuduu wala hajawai ongelea ilo suala.cku moja tukiwa outng nkamtania kua naomba penzi lake ili nimsome kama ndo walewale anazuga tuu ama vp,alchonijb ni kua tusubr mda ukfka tutaduu na akaongeza kua bado hatujapma afya.Nkamwambia sawa,yakaisha .Akanisndkza ad hom kwa furaha tu.Cha ajab frm that day akawa hapokei cm yang wala kujb sms na ni mda wa miez 5 sasa.Nlimuulza rafk ake wa karb kua tatzo ni nin,akanambia yye aliongea nae lkn jamaa alimjib kua atuache yeye na mimi tutayamaliza.we unamuelewaje?????

kama hujatunga huyo atakuwa anaudhaifu fulani hivi,,,,,,,,,,,
 
Back
Top Bottom