We ulitegemea akuone vipi baada ya hiyo statement yako "naomba penzi lake ili nimsome kama ndo walewale anazuga tuu ama vp" walewale ndio akina nani? manake ushagusa za wengi sasa unataka utest na yake uone iko vipi au? ukiangalia na situation ya maisha ilivyo siku hizi hiyo statement moja kwa moja imekuweka kwenye kundi la vicheche, hata ka ni mimi ningepotezea, au kama ndio walewale basi ningekupa kwa nia ya kukuchezea tu na wala sio kukupenda wala nini, sio kila mwanaume anapenda gals wa kuingia kirahisi, mfano mimi (ni preference tu usinicriticize) napenda binti anayenisumbua sumbua kidogo, lakini anajali, sio yule mrahisirahisi tu, na kwa binti kuniomba game, kama ni mimi namuona wa ajabu sana, mawazo ya game binti unayatoa wapi hadi kufika level ya kunitamkia, unless umezoea, kwa asiyemzoefu ataogopa kusema, au aliyetulia bac ataacha itokee automatic..
MAPENZI KABLA YA NDOA UZINGUAJI TU, Kama mwanaume ntakwambia ukweli, wanaume wengi wakishamvua binti wakaenjoy, basi ile hamu na yule binti inaisha, ka sio mara moja bac mara kadhaa afu bac, atataka kuonja na kwingine...