ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,711
- 127,639
haya mkuu ww endelea kusubir hadi ndoa ujikute unauziwa mbuz kwenye gunia au utakutana na two sex! Sk hz majanga lazma "shake before use"
hata kwa mchezaji ili aweze kupendwa na timu nyngi lazma ahudhulie mazoez mara nyingi na acheze mechi vzr uwanjani
Hahaaaaa..
Huyo ndo kanuni yako e!