amenichezea, akaniacha nifanye nini?

amenichezea, akaniacha nifanye nini?

wa mmoja wao..!

Huyu dada ni wazi anatakiwa kufanya maamuzi magumu ikiwa ni pamoja na kumwacha huyu mtoto alelewe na wazazi wa kijana kwani nionavyo hawa watu wanamchukulia kama HG na sio mke mtarajiwa au Mkwe. Tena atafute namna ya kujitegemea nje ya maisha haya kwani sioni kuolewa na huyu kijana ila ni kutumiwa na kuzeeshwa then kutupwa nje. Mwambie asifikirie ndoa na mapenzi kwani hapo atatumika kama HG bila malipo na mwisho atafukuzwa kama mbwa.....Please muase vya kutosha aache hayo maisha atafute njia ya kujitegemea mapema.
 
Aende kwa mganga akamroge sehemu zake za siri ziamie kichwani..
 
Back
Top Bottom