TONY MTAKAYOTE
Senior Member
- Jan 24, 2013
- 150
- 69
Yamempata rafiki yangu, anaomba ushauri:
ALIOLEWA NA MWANAMUME MMOJA, ambaye waliishi pamoja kwa takriban miaka mitatu.
Walishindwa kuelewana hivyo kusababisha kuvunjika kwa ndoa hiyo.
Baada ya kuachana na huyo kaka, alitafuta kaz na kupata kaz ya uhaus girl.
Alifanya kaz kwa miez kadhaa, ndipo alipotongozwa na shem wa mwenye nyumba. WALIKUBALIANA WAKAANZA MAHUSIANO.
Walisimuliana historia zao na kuona kuwa wana matatizo yanayofanana.
HISTORY YA MWANAMUME KWA UFUPI ILIKUWA HIVI:
amezaa na mwanamke fulan mtoto m1 wameachana na mke wake kwa sabab mke wake alikuwa akitembea nje ya ndoa.
BINTI NAYE:
Nina watoto wawili wapo kwa bibi yao.
Bas mapenzi yakaendelea.
Yule kaka alienda chuon na kumuachia mpenz wake yule mtoto 1 pale pale kwa shem wa yule mkaka. Alikuwa amebakza miez 9 amalize chuo.
Baada ya kumaliza chuo vioja vkaanza.
Mara o nataka kwenda mjin..." bila sabab..".
Mara o mtoto tumpeleke bording ila hela ha2na.
KUMBE NI SELA TU ZA KUMUACHA BINT WA WATU. Jamaa amesema hatorud nyumban, bila sabab yeyote. Sasa bint yuko njia panda afanye nini hata hela ya matumiz hana hata kaz hana. USHAURI WENU WANA JF. Bint analia tu nimeshindwa hata kumnyamazisha.
Ndio maana nmeamua kuandika fasta fasta kwa ushaur wenu.