Ameniboaa! Marafiki wa social network

Ameniboaa! Marafiki wa social network

Latifaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2012
Posts
501
Reaction score
258
Nawasisitiza sana marafiki wa social network sio kabisa, kuna mtu kanipm ooh tuwe marafiki nimesoma sred zako nyingi kwahiyo nimevutiwa
akaniachia namba yake nikampigia kwabahati hatukuwa mbali namahali nilipo ikabidi tukutane, mara phone yake ikaita kaongeaa karibia lisaa sijakaa sawa katoa ipad kaanza kubrows mambo yake heee ikabidi nimshangae hakuna maongezi mpaka hapo ee, mara samahani honey ingia basi ndani yagari tuongee kibo ! Nimekua honey? Mara kanishika kiuno huku anataka kunikumbatia khee! Nilichukiaa ilibidi nimropokee maneno makaali namachafu nikasepa zangu!
 
hope ulisoma alichoandika Sakapal jana!!

alikuita kulingishia iPad au hiyo ilikuwa gia namba wani? teh teh kazi ipo kwa kizazi hiki cha digitali
 
hii ni kali ya mwaka cheriefrance ebu njoo ukatoe coment hapa
Nawasisitiza sana marafiki wa social network sio kabisa, kuna mtu kanipm ooh tuwe marafiki nimesoma sred zako nyingi kwahiyo nimevutiwa akaniachia namba yake nikampigia kwabahati hatukuwa mbali namahali nilipo ikabidi tukutane, mara phone yake ikaita kaongeaa karibia lisaa sijakaa sawa katoa ipad kaanza kubrows mambo yake heee ikabidi nimshangae hakuna maongezi mpaka hapo ee, mara samahani honey ingia basi ndani yagari tuongee kibo ! Nimekua honey? Mara kanishika kiuno huku anataka kunikumbatia khee! Nilichukiaa ilibidi nimropokee maneno makaali namachafu nikasepa zangu!
 
Last edited by a moderator:
Umeogopa kuitwa hani ama kushikwa kiuno?

ngoja nimjibie mkuu ingawa sikuwepo, unajua approach nyingine zinachekesha sana! nahisi kilichomshanganza nivile jamaa alivyojiaminisha kuwa totoz imeishaingia laini hata bila ya kuimbisha, nadhani jamaa alivyoona totoz imempigia na imeitikia wito akajump kwenye conclusion kwamba mambo tayari....

kimbembe ni pale jamaa alipoanza kumshika shika, kumwita honey na kumwambiai aingie kwenye gari, loh! akyanani nimecheka hadi basi, utadhani naona tukio zima live!!!
 
Yaani kila nikitafakari najikuta nafyonya, kuna watu hawana adabu eti, nanimeiweka wazi makusudï
 
Haya ndo mambo aliyokataa mtoto wa watu sakapal loh! Pole latifaa nextym be careful ndo effect za outside jf.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
wee huyo ndio kafanya kweli....wee urFiki na mwanaume bila kuombwa papucchi hamna. u luking for the impossible
 
ngoja nimjibie mkuu ingawa sikuwepo, unajua approach nyingine zinachekesha sana! nahisi kilichomshanganza nivile jamaa alivyojiaminisha kuwa totoz imeishaingia laini hata bila ya kuimbisha, nadhani jamaa alivyoona totoz imempigia na imeitikia wito akajump kwenye conclusion kwamba mambo tayari....

kimbembe ni pale jamaa alipoanza kumshika shika, kumwita honey na kumwambiai aingie kwenye gari, loh! akyanani nimecheka hadi basi, utadhani naona tukio zima live!!!
ahahaaa acha upambe bwana....majanga kwa kweli
 
Tehe!tehe!tehe! Jf raha! Mtakuja kubakwa nyie mabinti! Nakutolewa Mindagu Shauri yenu!!!
 
pm kitu gani bana, mimi humu humu jukwani naomba tuonane hii thread yako imenivutia sana.... ukinikubalia nikubalie hapa hapa , ila contacts tupeane PM
 
Hahahaaaaa.... Jamani wewe mtu fudenge ambaye tumepanga tuonane Jumamosi naomba usiniite hani wala usinishike kiuno... Hahahaa..!!
 
Pole ...kumbe kuna hayo mambo....watu wanatongozana hapa hapa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom