Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
^^
The home of great thinkers
^^
majaaaaanga!!!!
^^
The home of great thinkers
^^
Hahahaaaaa.... Jamani wewe mtu fudenge ambaye tumepanga tuonane Jumamosi naomba usiniite hani wala usinishike kiuno... Hahahaa..!!
haahaaha Neylu beby Utashngaa umeshkwa buttocks sauli yako !
Hahahahaah swahiba watu wengine bana.... sijui kwanini hakumPM wamalizane? Tena na namba za simu anazo angeweza kumpa kubwa tu yaishe.... Vijana wa siku hizi bana!Du!
Hiyo ndiyo jf nyuma ya mapazia bana.
Sasa kwanini na wewe umekuja kumchora huku bana?
Halafu mtu anakuita HANI unachukia? Unataka akuite Poison?
nimekusikia hani wala sitakuita hani, :smile-big:Hahahaaaaa.... Jamani wewe mtu fudenge ambaye tumepanga tuonane Jumamosi naomba usiniite hani wala usinishike kiuno... Hahahaa..!!
nimekusikia hani wala sitakuita hani, :smile-big:
Hahahaaaaa.... Jamani wewe mtu fudenge ambaye tumepanga tuonane Jumamosi naomba usiniite hani wala usinishike kiuno... Hahahaa..!!
kukuita Dear je? inaruhusiwa?
Ukiona hivyo ujue hizo simu na msg zina umuhimu pia.kuna hichi kitu kinaboa
sana mtu unakwenda/unapanga kukutana na mtu hata kama sio festi time,
lakini mtu unakuta muda wote yupo na ubize usioisha na simu, mara msg
zinaingia mfululizo yupo bize kuzijibu, mara simu zinaingia mfululizo
ikikatika hii inaingia nyingine utafikiri kastama kea!
unaongea/unamsemesha maneno ishirini anajibu neno moja, kana kwamba
kuonana kwenu hakutilii maananani au amedharau kuonana kwenu au ni
ushamba tu, kama ni notifications si ataresponda hata baadaye au hata
kama ni kuchat na kujibu msg si aweke simu pembeni kuna baadaye
ataendelea kuchat !!!